Tetesi: Prof. Kitila Mkumbo kuchuana vikali na Nyalandu jimboni

Nitawashangaa chadema kumsimamisha ccm apambane na ccm
 
Adui ujinga nilishamfukuza akakimbilia cdm
 
Hivi Nyalandu atagombeaje mbona kama vile Mwenyekiti Mbowe ameruhusu huyu jamaa ashitakiwe mahakamani kwa tuhuma za ufisadi. Ama niliipata vibaya wakati Mwenyekiti wetu Mbowe anaagiza akiwa Mbeya
 
Bonge la mechi
 
Kwa maoni yako ya kishabiki ndivyo unadhani Nyalandu hana DOA na kama kawaida yenu kwa kuwakumbatia watuhimiwa na kuwaosha ikibidi hata kwa kutumia steelwire ni hatari sana. Dhambi hii ya unafiki itawatafuna mpaka mkome.
 
Kitendo cha Nyalandu kujiuzuru akiwa Arusha kimezua hasira kubwa jimboni hivyo kupita kwake itakuwa ngumu. Pia Prof Kitila is better off as katibu mkuu kuliko kuwa ('mchakata domo') mbunge.
 
Kwa maoni yako ya kishabiki ndivyo unadhani Nyalandu hana DOA na kama kawaida yenu kwa kuwakumbatia watuhimiwa na kuwaosha ikibidi hata kwa kutumia steelwire ni hatari sana. Dhambi hii ya unafiki itawatafuna mpaka mkome.
Wanafiki ni nyie mnayemuona mkosaji leo baada ya kujiondoa CCM. Kwani huo uchafu huonekana tu pindi wakitoka ndani ya chama chenu?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Umhh Dr. Nyalandu toka lini ? Bavicha kwa kupamba visivyopambika
 
yaan ukitaka tufeli chadema tumweke mtu mwingine tiofaut na nyalandu !jaman ccm kila mtu ana nyumba yake masuala ya kutuchagulia chakula hatuyapendi tena wakome na mkome !mkeo kakushinda kazi kumchunguza mke wa jiran yako !mxiewwww ccm
Kwani unahisi hatawekwa nyalandu
 
Hapo ndio naamin vyama vyetu vya siasa viongozi wao wanafikiria kwa makalio badala ya vichwa.... hv mtu kang'atuka hata mwez hujafika then mnampa nafas ya kugombea ubunge ... unazani watajisikiaje wale wafia chama
Ndio wakina nani hao wafia chama? Au!! Na je hao wafia chama wako CDM tu, au? Je na huko wanahamia tu, tena bila kuamia wanapewa ukuu wa mkoa, ukatibu mkuu na mengi mengi, wafia Chama hawapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…