Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani CHADEMA wamempitisha NYalandu kua mgombea??Nyalandu hata akishinda hawezi kutangazwa
Hayawi hayawi, sasa yamekuwa. Kile kitendawili kigumu kilichokuwa kimekosa majibu sasa majawabu yake yako bayana! Kuna kila aina ya dalili CCM wanamuandaa Prof Kitila Mkumbo kuchauana vikali na Dr Lazaro Nyalandu katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika kumchagua mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini baada ya Dr Nyalandu kujiondoa CCM na kujiunga CHADEMA hivi karibuni.
Wataalamu wa masuala ya siasa wanabainisha kuwa CCM wamejithathmini na kuona wamteue Prof Kitila kuwa mgombea wao ili achuane na mgombea wa upinzani, Dr Nyalandu. Sababu zinazopelekea CCM walenge kumteua Prof Kitila ni kutokana na hali ya siasa za Kanda ya Kati ambazo hazitabiriki hata kidogo. Inadhaniwa Prof Kitila ana uwezekano wa kumuangusha Dr Nyalandu katika uchaguzi huo kwa kuwa bado ana chembechembe za upinzani, hivyo kuweza kujizolea mashabiki kutoka upande wa upinzani pamwe na upande wa CCM.
Aidha,upande wa CHADEMA nao wanatamba kuibuka washindi katika jimbo hilo kutokana na kuwa na hazina nzuri ya wafuasi, huku wakitarajia kupata "kura za chuki" za kutosha kutoka kwa wanaCCM, hasa wale wanaokerwa jinsi nchi inavyotawaliwa kwa sasa.
MAONI YANGU
Mimi kete yangu naitupia kwa Dr Nyalandu kuibuka na ushindi katika uchaguzi huo mdogo kwa kuwa bado ana wafuasi wa kutosha kutoka upande wa CCM, hasa wale wasioridhishwa jinsi CCM inavyomwandama Dr Nyalandu na kashfa za kutunga huku wakijua fika utumishi wa Dr Nyalandu haujawahi kuwa na doa lolote.
Je, wewe dau lako unalitupia kwa nani na kwa sababu gani? Toa maoni yako sasa!
Hapo hata CCM wapo wakina kitikilaNdio wakina nani hao wafuia chama? Au!! Na je hao wafia chama wako CDM tu, au? Je na huko wanahamia tu, tena bila kuamia wanapewa ukuu wa mkoa, ukatibu mkuu na mengi mengi, wafia Chama hawapo?
Umejiunga lini na wewe humu, naona mmetoka fb mnakuja huku.Eti Dr Nyalandu, alipata wapi huo u Dr, wacha hizo, Nyalandu hawezi shinda Singida tena kama alijitoa kwa CCM halafu arudi kwa Chadm, haitokei hata, subiria matokeo, hata mm nikishindana na Nyalandu lazima nimvue tuu ila mm kijana mdogo, na sio mwanasiasa.
ulitaka aitwe Dr. siku ganiMh! Siku hizi ni Dr Nyalandu
juzi alipotoka ccmNyalandu huo u- doctor umeanza lini!!!!
Sina uhakika kama Mnyaturu wa Singida Kaskazini atamchague Mnyiramba wa Iramba Magharibi. Nahisi siasa za kikabila zikaamua mshindiHayawi hayawi, sasa yamekuwa. Kile kitendawili kigumu kilichokuwa kimekosa majibu sasa majawabu yake yako bayana! Kuna kila aina ya dalili CCM wanamuandaa Prof Kitila Mkumbo kuchauana vikali na Dr Lazaro Nyalandu katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika kumchagua mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini baada ya Dr Nyalandu kujiondoa CCM na kujiunga CHADEMA hivi karibuni.
Wataalamu wa masuala ya siasa wanabainisha kuwa CCM wamejithathmini na kuona wamteue Prof Kitila kuwa mgombea wao ili achuane na mgombea wa upinzani, Dr Nyalandu. Sababu zinazopelekea CCM walenge kumteua Prof Kitila ni kutokana na hali ya siasa za Kanda ya Kati ambazo hazitabiriki hata kidogo. Inadhaniwa Prof Kitila ana uwezekano wa kumuangusha Dr Nyalandu katika uchaguzi huo kwa kuwa bado ana chembechembe za upinzani, hivyo kuweza kujizolea mashabiki kutoka upande wa upinzani pamwe na upande wa CCM.
Aidha,upande wa CHADEMA nao wanatamba kuibuka washindi katika jimbo hilo kutokana na kuwa na hazina nzuri ya wafuasi, huku wakitarajia kupata "kura za chuki" za kutosha kutoka kwa wanaCCM, hasa wale wanaokerwa jinsi nchi inavyotawaliwa kwa sasa.
MAONI YANGU
Mimi kete yangu naitupia kwa Dr Nyalandu kuibuka na ushindi katika uchaguzi huo mdogo kwa kuwa bado ana wafuasi wa kutosha kutoka upande wa CCM, hasa wale wasioridhishwa jinsi CCM inavyomwandama Dr Nyalandu na kashfa za kutunga huku wakijua fika utumishi wa Dr Nyalandu haujawahi kuwa na doa lolote.
Je, wewe dau lako unalitupia kwa nani na kwa sababu gani? Toa maoni yako sasa!
Dr wa wanyamapori!Mh! Siku hizi ni Dr Nyalandu
Mkuu,heshima kwako,Nakubaliana na wewe kwa sehemu fulani ,ila natofautiana na wewe mahali fulani.Umeeleza kuwa jimbo hilo asilimia kubwa ni CCM,sasa hauoni kuwa kwa CHADEMA ni bora kumsimamisha Nyalandu ambaye anamizizi kwa wana CCM anaweza kuzigawanya kura za CCM kuliko mtu hasiye na mizizi CCM ambaye hatopata kabisa za wana CCM unaokiri kuwa ndio wengi jimboni humo?.Huyo mkumbo labda aende kwao ilamba uko kiomboi ndo wanamjua wanyilamba watampa kura singida kaskazini kwa wanyaturu huyo profesor hakuna anayemjua
Wakimpa yeye nafasi ccm watapoteza jimbo,hapo waweke watu waliowazoea asa wale ambao pengine wamewahi chuana na nyalandu kwenye kura za maoni ndani ya chama
Kwa upande wa chadema wasimpe nyalandu kugombea ubunge kwenye hilo jimbo pamoja na kwamba amehama chama ila wananchi wa lile jimbo wamemchoka ata 2015 halishinda kimagumashi sana,alitumia pesa sana ukizingatia jimbo lenyewe upinzani hauna nguvu maana kule ni vijijini wengi wa wananchi ni wana CCM vinginevyo angemwagwa
Maana alichokwa mno katika vipindi vinne alivyokaa kwenye hilo jimbo hajafanya chochote cha msingi
Nenda ilongelo,mtinko,mgoli hakuna lolote,kuonekana kwake mpaka kampeni,wakitaka ushindi chadema wampe mwingine Nyalandu yeye awepo kwenye timu ya kampeni tu
nakuunga mkono.....lingine ni kuwa wanasingida wengi wanaamini kuwa TL alishambuliwa na serikali,na kwamba ,kitendo cha nyalandu kwenda nairobi kumuona TL na baadaye ikasikika kuwa ccm wanampango wa kumfukuza uanachama ....kura zitapigwa za chuki dhidi ya ccmHayawi hayawi, sasa yamekuwa. Kile kitendawili kigumu kilichokuwa kimekosa majibu sasa majawabu yake yako bayana! Kuna kila aina ya dalili CCM wanamuandaa Prof Kitila Mkumbo kuchauana vikali na Dr Lazaro Nyalandu katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika kumchagua mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini baada ya Dr Nyalandu kujiondoa CCM na kujiunga CHADEMA hivi karibuni.
Wataalamu wa masuala ya siasa wanabainisha kuwa CCM wamejithathmini na kuona wamteue Prof Kitila kuwa mgombea wao ili achuane na mgombea wa upinzani, Dr Nyalandu. Sababu zinazopelekea CCM walenge kumteua Prof Kitila ni kutokana na hali ya siasa za Kanda ya Kati ambazo hazitabiriki hata kidogo. Inadhaniwa Prof Kitila ana uwezekano wa kumuangusha Dr Nyalandu katika uchaguzi huo kwa kuwa bado ana chembechembe za upinzani, hivyo kuweza kujizolea mashabiki kutoka upande wa upinzani pamwe na upande wa CCM.
Aidha,upande wa CHADEMA nao wanatamba kuibuka washindi katika jimbo hilo kutokana na kuwa na hazina nzuri ya wafuasi, huku wakitarajia kupata "kura za chuki" za kutosha kutoka kwa wanaCCM, hasa wale wanaokerwa jinsi nchi inavyotawaliwa kwa sasa.
MAONI YANGU
Mimi kete yangu naitupia kwa Dr Nyalandu kuibuka na ushindi katika uchaguzi huo mdogo kwa kuwa bado ana wafuasi wa kutosha kutoka upande wa CCM, hasa wale wasioridhishwa jinsi CCM inavyomwandama Dr Nyalandu na kashfa za kutunga huku wakijua fika utumishi wa Dr Nyalandu haujawahi kuwa na doa lolote.
Je, wewe dau lako unalitupia kwa nani na kwa sababu gani? Toa maoni yako sasa!
Hayawi hayawi, sasa yamekuwa. Kile kitendawili kigumu kilichokuwa kimekosa majibu sasa majawabu yake yako bayana! Kuna kila aina ya dalili CCM wanamuandaa Prof Kitila Mkumbo kuchauana vikali na Dr Lazaro Nyalandu katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika kumchagua mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini baada ya Dr Nyalandu kujiondoa CCM na kujiunga CHADEMA hivi karibuni.
Wataalamu wa masuala ya siasa wanabainisha kuwa CCM wamejithathmini na kuona wamteue Prof Kitila kuwa mgombea wao ili achuane na mgombea wa upinzani, Dr Nyalandu. Sababu zinazopelekea CCM walenge kumteua Prof Kitila ni kutokana na hali ya siasa za Kanda ya Kati ambazo hazitabiriki hata kidogo. Inadhaniwa Prof Kitila ana uwezekano wa kumuangusha Dr Nyalandu katika uchaguzi huo kwa kuwa bado ana chembechembe za upinzani, hivyo kuweza kujizolea mashabiki kutoka upande wa upinzani pamwe na upande wa CCM.
Aidha,upande wa CHADEMA nao wanatamba kuibuka washindi katika jimbo hilo kutokana na kuwa na hazina nzuri ya wafuasi, huku wakitarajia kupata "kura za chuki" za kutosha kutoka kwa wanaCCM, hasa wale wanaokerwa jinsi nchi inavyotawaliwa kwa sasa.
MAONI YANGU
Mimi kete yangu naitupia kwa Dr Nyalandu kuibuka na ushindi katika uchaguzi huo mdogo kwa kuwa bado ana wafuasi wa kutosha kutoka upande wa CCM, hasa wale wasioridhishwa jinsi CCM inavyomwandama Dr Nyalandu na kashfa za kutunga huku wakijua fika utumishi wa Dr Nyalandu haujawahi kuwa na doa lolote.
Je, wewe dau lako unalitupia kwa nani na kwa sababu gani? Toa maoni yako sasa!
Na uchaguzi utatangazwa mipango ikiwa imekamilika.Tudiandikie mate hali WINO upo!! 2018 haitaisha uchaguzi utafanyika