Pre GE2025 Prof Kitila Mkumbo: Mbowe hagombei uchaguzi ambao anajua ataenda kushindwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kina TAL na genge lake la Wahuni hawajajipanga ,wamejazwa Upepo na wapiga kura wa ONLINE kina Mwabukusi ,Madeleka ,Jebra ,Gwamaka ,Bob Wangwe ,Maria Sarungi , Mdude na watu wanaofanana na hao ambao si WAPIGA KURA.
 
Kugombea Urais alikuwa anatimiza wajibu tu kitila kamaanisha ubunge na nafasi ndani ya Chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…