Pre GE2025 Prof Kitila Mkumbo: Mbowe hagombei uchaguzi ambao anajua ataenda kushindwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kina TAL na genge lake la Wahuni hawajajipanga ,wamejazwa Upepo na wapiga kura wa ONLINE kina Mwabukusi ,Madeleka ,Jebra ,Gwamaka ,Bob Wangwe ,Maria Sarungi , Mdude na watu wanaofanana na hao ambao si WAPIGA KURA.
Kweli kabisa
 
wacha kutapatapa, mbowe hatakiwi
 
Kina TAL na genge lake la Wahuni hawajajipanga ,wamejazwa Upepo na wapiga kura wa ONLINE kina Mwabukusi ,Madeleka ,Jebra ,Gwamaka ,Bob Wangwe ,Maria Sarungi , Mdude na watu wanaofanana na hao ambao si WAPIGA KURA.
Ninaye muonea huruma ni HECHE, kama asingeingia na gia ya kum support Lissu 100% alikuwa anaukwaa u makamu.
 
Kujua kudhani hautashindwa ndio inamaanisha utashinda ?; Kwa mtaji huo hicho Chama chake mara zote Mbowe alizogombea Urais ni kwamba alishinda ? Kwahio by default anatwambia Chama chake waliiba Kura ? (Yaani ni Wezi).

Hawa watu flip floppers wasio na principle ni vigumu sana kuwachukulia serious.
 
Kwa tàarifa tu, LISSU NDIYE MWENYEKITI MPYA WA CHADEMA.
Sawa. Hilo linawezekana kabisa. Kitu ambacho nina hakika nacho ni kuwa Mbowe atampongeza Mwenyekiti wake na kusisitiza waliokuwa wanamuunga mkono wampe ushirikiano. Ila kama mtu wenu atashindwa, atakataa kumpa mkono Mbowe na atasema kuwa amechezewa rafu. Atawataka wapambe wake ( Rose na wengine) wahakikishe kuwa anatangazwa kuwa mshindi. Wakina Sativa, Mdude, Tito, Msigwa na wengine wataporomosha matusi dhidi ya chama wanachodai kuwa wanakipenda. Itakuwa hivi hata kama Heche atashinda.

Amandla...
 
Lakini aligombea uchaguzi mkuu wa 2005 na aalishindwa vibaya sana na mh Kikwete au huu alijua atashindwa??
 
Kina TAL na genge lake la Wahuni hawajajipanga ,wamejazwa Upepo na wapiga kura wa ONLINE kina Mwabukusi ,Madeleka ,Jebra ,Gwamaka ,Bob Wangwe ,Maria Sarungi , Mdude na watu wanaofanana na hao ambao si WAPIGA KURA.
Mwamba tuvushe mpaka machame
 
Attachments

  • 5934732-c8dded91f1fc9eda0bea4c38b0524790.mp4
    60.4 KB
Sawa. Hilo linawezekana kabisa. Kitu ambacho nina hakika nacho ni kuwa Mbowe atampongeza Mwenyekiti wake na kusisitiza waliokuwa wanamuunga mkono wampe ushirikiano. Ila kama mtu wenu atashindwa, atakataa kumpa mkono Mbowe na atasema kuwa amechezewa rafu. Atawataka wapambe wake ( Rose na wengine) wahakikishe kuwa anatangazwa kuwa mshindi. Wakina Sativa, Mdude, Tito, Msigwa na wengine wataporomosha matusi dhidi ya chama wanachodai kuwa wanakipenda. Itakuwa hivi hata kama Heche atashinda.

Amandla...
Hapo ndipo Lissu anapokwama kuitwa mwanasiasa nguli. Na hoja hii ishamcost tayari.
 
Mleta mada na huyo Kitila wake wote ni vilaza, kumbukumbu sifuri.
Kuna mtoto mmoja wa familia ya Mbowe nilikuwa napiga naye stories.

Alikuwa anasema kuwa kwenye vikao vya familia, wakati Freeman Mbowe ni mgombea urais, Freeman Mbowe alikuwa anakubali kabisa kwamba hawezi kushinda urais, in fact alikuwa anataka kushindwa urais kwa sababu alijiona akishinda urais hajawa tayari kuwa rais.

Hizo za ndani kabisa kutoka kwenye familia.

Kwa hivyo hapo aligombea urais kwa show tu akijua hatashinda. Wala hakutaka kushinda.

Halafu leo anakuja mtu na propaganda zake anatuambia Mbowe hagombei uchaguzi ambao anajua hatashinda?

Watu wengine hatupati habari kwenye magazeti, tunapata za ndani kabisa kutoka kwenye familia mambo ambayo hata kwenye magazeti hayaandikwi.
 
Back
Top Bottom