Binafsi nasema hivi, Mipango na mapenzi ya Mungu na yatimie maana naamini katika Neno lake kama asemavyo kuwa yeye ndiye mwenye njia na mipango yote juu ya mtu yeyote 👇🏻👇🏻👇🏻
ISAYA 55:8-9 SUV
"....Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA. Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu..."
Na pia anasema hivi👇🏻👇🏻
1 SAMWEL 2:8 SUV
"..... Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Humpandisha mhitaji kutoka jaani, Ili awaketishe pamoja na wakuu, Wakakirithi kiti cha enzi cha utukufu; Kwa maana nguzo za dunia zina BWANA, Naye ameuweka ulimwengu juu yake..."
Mwenye haki, na yule Mungu anayetaka kumpa uongozi wa taasisi hii, bila shaka maandiko haya yatamwinua na kutimia kwake miongoni..
Kama ni Freeman Mbowe aendelee zaidi na zaidi, mimi na wewe
chiembe ni nani tumpinge yeye aliyetufanya kwa mikono yake...?
Yes, as human beings tuna matamanio yetu. Lakini matamanio yetu yako juu ya utashi na maamuzi ya Mungu kama asemavyo kwenye nukuu ya neno lake hapo☝🏻☝🏻juu..
Karibu..