Sasa gwiji gani wa siasa huyu?! Uchaguzi wa 2005 Mbowe hakugombea?Gwiji la siasa Tanzania limesema, nani atabisha? Huyu ni moja ya mabingwq wa tathmini za siasa ambaye nchi hii haijawahi kupata. Mbowe mitano tena.
View attachment 3207677
Hiyo imani na utamaduni potofu unavunjwa kesho. Freeman Mbowe ATASHINDWA HAKIKA...!!Gwiji la siasa Tanzania limesema, nani atabisha? Huyu ni moja ya mabingwq wa tathmini za siasa ambaye nchi hii haijawahi kupata. Mbowe mitano tena.
View attachment 3207677
Freeman atakuwa mwenyekiti mpaka miaka mitano ipiteHiyo imani na utamaduni potofu unavunjwa kesho. Freeman Mbowe ATASHINDWA HAKIKA...!!
Na ndipo kila mtu anayeamini kuwa binadamu fulani aweza kuwa juu ya Mungu, atakwenda kujua kesho kuwa yupo Mungu wa mbingu ambaye huinua wanyonge wa mavumbini hata kuwaketisha kwenye viti na wafalme...
Na huyu Mungu Jehovah amesema hivi katika Neno lake:
Binafsi nasema hivi, Mipango na mapenzi ya Mungu na yatimie maana naamini katika Neno lake kama asemavyo kuwa yeye ndiye mwenye njia na mipango yote juu ya mtu yeyote 👇🏻👇🏻👇🏻Freeman atakuwa mwenyekiti mpaka miaka mitano ipite
Kitila anaongelea cheo Cha Mbowe yaani ayattolah mwenyekiti ngwazi wa muyaya.Huyu Prof naye ni sufuri kabisaaaaa
Kwani ile 2005 Mbowe a agombea uraisi alishinda? 🤣🤣🤣
Unampangia Mungu awe upande gani? Mungu aliiepusha nchi hii na Lissu, mpaka leo mmeamua kuropoka jinsi mlitaka kuiingiza nchi chakaBinafsi nasema hivi, Mipango na mapenzi ya Mungu na yatimie maana naamini katika Neno lake kama asemavyo kuwa yeye ndiye mwenye njia na mipango yote juu ya mtu yeyote 👇🏻👇🏻👇🏻
ISAYA 55:8-9 SUV
"....Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA. Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu..."
Na pia anasema hivi👇🏻👇🏻
1 SAMWEL 2:8 SUV
"..... Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Humpandisha mhitaji kutoka jaani, Ili awaketishe pamoja na wakuu, Wakakirithi kiti cha enzi cha utukufu; Kwa maana nguzo za dunia zina BWANA, Naye ameuweka ulimwengu juu yake..."
Mwenye haki, na yule Mungu anayetaka kumpa uongozi wa taasisi hii, bila shaka maandiko haya yatamwinua na kutimia kwake miongoni..
Kama ni Freeman Mbowe aendelee zaidi na zaidi, mimi na wewe chiembe ni nani tumpinge yeye aliyetufanya kwa mikono yake...?
Yes, as human beings tuna matamanio yetu. Lakini matamanio yetu yako juu ya utashi na maamuzi ya Mungu kama asemavyo kwenye nukuu ya neno lake hapo☝🏻☝🏻juu..
Karibu..
Alipogombea ubunge kule hai wakati wa Magufuli alikua anajua atashinda? Wakati mpaka OCD na Sabaya walimwambia wazi wazi kuwa hashindi?Kugombea Urais alikuwa anatimiza wajibu tu kitila kamaanisha ubunge na nafasi ndani ya Chama
Kwani nani na nani huwa anagombea uchaguzi ambao anajua anakwenda kushindwa?Gwiji la siasa Tanzania limesema, nani atabisha? Huyu ni moja ya mabingwq wa tathmini za siasa ambaye nchi hii haijawahi kupata. Mbowe mitano tena.
View attachment 3207677
Wewe ni mgonjwa si bure au mgeni wa siasa za bongo. Lisu anashindaje ?Kwa tàarifa tu, LISSU NDIYE MWENYEKITI MPYA WA CHADEMA.
Huyo Mkumbo naye fala tu kama huyo mleta thread.Mbona aligombea urais akijua atashindwa, halafu akashindwa?
Mbowe kila mahali anakataliwa.Mbowe amekataliwa kila kona.
View: https://youtu.be/vktUF--ZYxU?si=TK0RK1RW_cWXoe4T
Mbowe anamfuata Propessa Lipumba.
View attachment 3207689
Alipogombea Urais alishinda?Gwiji la siasa Tanzania limesema, nani atabisha? Huyu ni moja ya mabingwq wa tathmini za siasa ambaye nchi hii haijawahi kupata. Mbowe mitano tena.
View attachment 3207677
Ni kweli alijua atashinda ubunge Hai 2020 na akashinda asa ni mbunge wa HaiKugombea Urais alikuwa anatimiza wajibu tu kitila kamaanisha ubunge na nafasi ndani ya Chama
Politics and politicians, wanasema lolote ili kupata attentionMbona aligombea urais akijua atashindwa, halafu akashindwa?
Wahuni waliokubuhuKina TAL na genge lake la Wahuni hawajajipanga ,wamejazwa Upepo na wapiga kura wa ONLINE kina Mwabukusi ,Madeleka ,Jebra ,Gwamaka ,Bob Wangwe ,Maria Sarungi , Mdude na watu wanaofanana na hao ambao si WAPIGA KURA.