Prof. Kitila Mkumbo: Tanzania haitakubali kupangiwa marafiki wala maadui

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zinalenga kutafuta washirika wa biashara na uwekezaji badala ya wafadhili, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa falsafa ya kuifungua Tanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, Prof. Kitila amesema Tanzania itaendelea kutafuta fursa za biashara na uwekezaji bila kuchagua upande wowote wa kisiasa duniani.

Amesema ziara ya Rais Samia nchini Urusi ni sehemu ya mkakati huo wa kutafuta washirika wa maendeleo na si misaada, huku akisisitiza kuwa Tanzania haitakubali kuchaguliwa marafiki au maadui na taifa lolote.

Prof. Kitila amesema msimamo huo si mpya kwani ulianzishwa tangu enzi za Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, aliyesisitiza kuwa Tanzania itadumisha urafiki na mataifa yote kwa misingi ya kuheshimiana, usawa na kutokuingiliana katika masuala ya ndani ya nchi nyingine.

Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na mataifa mbalimbali duniani kwa lengo la kufungua fursa za biashara, uwekezaji na maendeleo kwa manufaa ya Watanzania.

Nani awapangie rafiki nanyie njaa yenu inawahangaisha kutembeza bakuli kama matonya? Mna rasilimali lukuki lakini kwa kukosa uzalendo mumeingia mikataba ya kimangungo kiasi hamnufaiki na utajiri huo kutwa kucha kuomba misaada, lazima muwekewe masharti tu, wahuni wakubwa nyie.
 
Sijawahi kumuamini Mtu anayeongea mate yanaruka.
 
Kitila, endelea kuongeza chumvi hadi mboga ishindwe kuliwa! Badala ya kubalance shobo unaendelea kuwa chawa mwandamizi wa aliyekuteua ili uendelee kubugia keki ya taifa.
Hivi nikiwaita maprofesa mliojazana huko ccm kuwa ninyi ni wasomi wajinga nitakuwa nimeasifia kikamilifu?
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zinalenga kutafuta washirika wa biashara na uwekezaji badala ya wafadhili, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa falsafa ya kuifungua Tanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, Prof. Kitila amesema Tanzania itaendelea kutafuta fursa za biashara na uwekezaji bila kuchagua upande wowote wa kisiasa duniani.

Amesema ziara ya Rais Samia nchini Urusi ni sehemu ya mkakati huo wa kutafuta washirika wa maendeleo na si misaada, huku akisisitiza kuwa Tanzania haitakubali kuchaguliwa marafiki au maadui na taifa lolote.

Prof. Kitila amesema msimamo huo si mpya kwani ulianzishwa tangu enzi za Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, aliyesisitiza kuwa Tanzania itadumisha urafiki na mataifa yote kwa misingi ya kuheshimiana, usawa na kutokuingiliana katika masuala ya ndani ya nchi nyingine.

Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na mataifa mbalimbali duniani kwa lengo la kufungua fursa za biashara, uwekezaji na maendeleo kwa manufaa ya Watanzania.

Kitila umeshakuwa bilionea kwa kutuibia, lazima ujizime data ubwatuke kumfurahisha anayekufanya uende chooni na familia yako!
 
Kauli yake itawakela USA na Ulaya, kauli imekaa kimipasho sana bora angekaa kimya

Awamu hii ya 6, wanajiamini sana, anguko lipo karibuni
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zinalenga kutafuta washirika wa biashara na uwekezaji badala ya wafadhili, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa falsafa ya kuifungua Tanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, Prof. Kitila amesema Tanzania itaendelea kutafuta fursa za biashara na uwekezaji bila kuchagua upande wowote wa kisiasa duniani.

Amesema ziara ya Rais Samia nchini Urusi ni sehemu ya mkakati huo wa kutafuta washirika wa maendeleo na si misaada, huku akisisitiza kuwa Tanzania haitakubali kuchaguliwa marafiki au maadui na taifa lolote.

Prof. Kitila amesema msimamo huo si mpya kwani ulianzishwa tangu enzi za Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, aliyesisitiza kuwa Tanzania itadumisha urafiki na mataifa yote kwa misingi ya kuheshimiana, usawa na kutokuingiliana katika masuala ya ndani ya nchi nyingine.

Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na mataifa mbalimbali duniani kwa lengo la kufungua fursa za biashara, uwekezaji na maendeleo kwa manufaa ya Watanzania.

Kauli ya Prof. Kitila Mkumbo inasisitiza misingi imara ya Utaifa na Diplomasia ya Uhuru inayoiongoza Tanzania tangu enzi za Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.

Kama nchi huru, uamuzi wa kushirikiana na mataifa mengine unapaswa kuongozwa na maslahi yetu ya kitaifa, kiuchumi, na kijamii, na si kwa shinikizo au matakwa ya mataifa makubwa yenye migogoro yao ya kijiografia. Tanzania haina maadui wa asili; urafiki wetu unajengwa juu ya kuheshimiana na kushirikiana kwa usawa
 
Mwalimu hakuitumia NAM doctrine kama kichaka cha kukwepa uwajibikaji. Tunataka uwajibikaji kwa violations zao za human rights!
 
Nani awapangie rafiki nanyie njaa yenu inawahangaisha kutembeza bakuli kama matonya? Mna rasilimali lukuki lakini kwa kukosa uzalendo mumeingia mikataba ya kimangungo kiasi hamnufaiki na utajiri huo kutwa kucha kuomba misaada, lazima muwekewe masharti tu, wahuni wakubwa nyie.
[emoji28] You kill the dog!.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zinalenga kutafuta washirika wa biashara na uwekezaji badala ya wafadhili, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa falsafa ya kuifungua Tanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, Prof. Kitila amesema Tanzania itaendelea kutafuta fursa za biashara na uwekezaji bila kuchagua upande wowote wa kisiasa duniani.

Amesema ziara ya Rais Samia nchini Urusi ni sehemu ya mkakati huo wa kutafuta washirika wa maendeleo na si misaada, huku akisisitiza kuwa Tanzania haitakubali kuchaguliwa marafiki au maadui na taifa lolote.

Prof. Kitila amesema msimamo huo si mpya kwani ulianzishwa tangu enzi za Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, aliyesisitiza kuwa Tanzania itadumisha urafiki na mataifa yote kwa misingi ya kuheshimiana, usawa na kutokuingiliana katika masuala ya ndani ya nchi nyingine.

Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na mataifa mbalimbali duniani kwa lengo la kufungua fursa za biashara, uwekezaji na maendeleo kwa manufaa ya Watanzania.

Hovyo kabisa haya mazee
 
Lakini Sisi tunaweza kushinikiza mataifa mengine kuiwekea vikwazo Taifa jingine?? Rejea shinikizo la from lines States Kwa uingereza, USA uholanzi juu ya vikwazo Kwa Southern Rhodesia na South Africa.
 
Back
Top Bottom