Prof. Kitila Mkumbo: Tanzania haitakubali kupangiwa marafiki wala maadui

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zinalenga kutafuta washirika wa biashara na uwekezaji badala ya wafadhili, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa falsafa ya kuifungua Tanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, Prof. Kitila amesema Tanzania itaendelea kutafuta fursa za biashara na uwekezaji bila kuchagua upande wowote wa kisiasa duniani.

Amesema ziara ya Rais Samia nchini Urusi ni sehemu ya mkakati huo wa kutafuta washirika wa maendeleo na si misaada, huku akisisitiza kuwa Tanzania haitakubali kuchaguliwa marafiki au maadui na taifa lolote.

Prof. Kitila amesema msimamo huo si mpya kwani ulianzishwa tangu enzi za Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, aliyesisitiza kuwa Tanzania itadumisha urafiki na mataifa yote kwa misingi ya kuheshimiana, usawa na kutokuingiliana katika masuala ya ndani ya nchi nyingine.

Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na mataifa mbalimbali duniani kwa lengo la kufungua fursa za biashara, uwekezaji na maendeleo kwa manufaa ya Watanzania.

Ni lini tumekua na ubavu wa kuwatunishia misuli wafadhili wetu? Kwa nguvu ipi tuliyonayo? Haya mamb wanaongea tu ila mabeberu wakiamua lao inakula kwetu!
 
Kitila Mkumbo ,Zitto Kabwe, Pascal Mayalla hawa watu ni wanafiki wa kiwango cha juu sana.
 
Watu weusi ni laana ukiangalia Kitila anavyongea utafikiri ni mtu wa maana au alishafanya kitu kikubwa kwenye Taifa hili
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zinalenga kutafuta washirika wa biashara na uwekezaji badala ya wafadhili, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa falsafa ya kuifungua Tanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, Prof. Kitila amesema Tanzania itaendelea kutafuta fursa za biashara na uwekezaji bila kuchagua upande wowote wa kisiasa duniani.

Amesema ziara ya Rais Samia nchini Urusi ni sehemu ya mkakati huo wa kutafuta washirika wa maendeleo na si misaada, huku akisisitiza kuwa Tanzania haitakubali kuchaguliwa marafiki au maadui na taifa lolote.

Prof. Kitila amesema msimamo huo si mpya kwani ulianzishwa tangu enzi za Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, aliyesisitiza kuwa Tanzania itadumisha urafiki na mataifa yote kwa misingi ya kuheshimiana, usawa na kutokuingiliana katika masuala ya ndani ya nchi nyingine.

Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na mataifa mbalimbali duniani kwa lengo la kufungua fursa za biashara, uwekezaji na maendeleo kwa manufaa ya Watanzania.

Nina andiko langu kuhusu unyumbu wa kisiasa na unyumbu wa usuli liko jikoni (human herding)
Unyumbu wa kibinadamu ni tabia ya wale unao wajua kwamba wanaakili lakini ndiyo wanaongoza kuarisha kufikiri Kwa nafsi kwa ajili ya kulitumikia kundi Fulani kwa masilahi ya kikundi hicho na binafsi kwanjia ya kujipendekeza ama unafiki

Human herding is an occurrence of thoughtful people or entrusted people to suspend their individual reasoning because of group objective and their personal gain through flattering and hypocrisy

Hili kwasasa ni janga la kidunia endapo tutaendelea kuwaacha hawa majaa mataifa mengi yatapata majanga
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zinalenga kutafuta washirika wa biashara na uwekezaji badala ya wafadhili, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa falsafa ya kuifungua Tanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, Prof. Kitila amesema Tanzania itaendelea kutafuta fursa za biashara na uwekezaji bila kuchagua upande wowote wa kisiasa duniani.

Amesema ziara ya Rais Samia nchini Urusi ni sehemu ya mkakati huo wa kutafuta washirika wa maendeleo na si misaada, huku akisisitiza kuwa Tanzania haitakubali kuchaguliwa marafiki au maadui na taifa lolote.

Prof. Kitila amesema msimamo huo si mpya kwani ulianzishwa tangu enzi za Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, aliyesisitiza kuwa Tanzania itadumisha urafiki na mataifa yote kwa misingi ya kuheshimiana, usawa na kutokuingiliana katika masuala ya ndani ya nchi nyingine.

Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na mataifa mbalimbali duniani kwa lengo la kufungua fursa za biashara, uwekezaji na maendeleo kwa manufaa ya Watanzania.

Huyo jamaa ufala wake umekomaa.Asubiri majibu ya mabeberu kwa vitendo.Asitoe milio.
 
Bootlicker huyu na Kabudi ni maprofesa UDSM mchongo hawawezi kufikiria wenyewe bila kumfuata mpiga filimbi wa Hamelin.
 
Upumbavu kabisa.kwa sasa tu tunapangiwa na wazanzibar kila kitu halafu lipuuzi limoja linatapika ujinga
 
Bootlicker huyu na Kabudi ni maprofesa UDSM mchongo hawawezi kufikiria wenyewe bila kumfuata mpiga filimbi wa Hamelin.
Kuna siku nilikuwa nafuatiali maongezi ya baadhi ya watu ninao wajue wanaakili pia wana hizi elimu za kimataifa (university level) nikataka kujua unamuelezaje mtu huyu ambaye anasema kitu unacho kujua tena ndicho kiko kwenye majukumu Yako ya kila siku anapo ongea tofauti na uhalisia wake (utumbo) ndipo nikagundua kumbe tabia hii siyo ngeni inaitwa "human herding" Mimi nimeboresha kido ni unyumbu.

Kuna unyumbu wa aina 2 unyumbu wa usuli na wa kisiasa
Unyumbu wa usuli huu unaotokana na elimu yako ya awali unaweza kuutumia kwenye biashara ama kwenye familia japo una pande mbili unaweza fanikisha ama letea madhara biashara yako
Wa kisiasa ndiyo huu ambao hawa ma profesa (professors) wanaleta majanga kwenye mataifa

Unyumbu wa kibinadamu ni tabia ya wanaopewa dhamana (thoughtful people) kuahirisha kufikiri Kwa nafsi kwa ajili ya kulitumikia kundi Fulani na kwa masilahi binafsi kwanjia ya kujipendekeza ama unafiki
 
Mkiishi vizuri na raia zenu hapo mtakuwa na hoja ya kuchaguliwa maadui na marafiki. Kwa sasa hoja hii haina mashiko
 
Back
Top Bottom