Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sijawahi kumuamini Mtu anayeongea mate yanaruka.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zinalenga kutafuta washirika wa biashara na uwekezaji badala ya wafadhili, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa falsafa ya kuifungua Tanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, Prof. Kitila amesema Tanzania itaendelea kutafuta fursa za biashara na uwekezaji bila kuchagua upande wowote wa kisiasa duniani.
Amesema ziara ya Rais Samia nchini Urusi ni sehemu ya mkakati huo wa kutafuta washirika wa maendeleo na si misaada, huku akisisitiza kuwa Tanzania haitakubali kuchaguliwa marafiki au maadui na taifa lolote.
Prof. Kitila amesema msimamo huo si mpya kwani ulianzishwa tangu enzi za Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, aliyesisitiza kuwa Tanzania itadumisha urafiki na mataifa yote kwa misingi ya kuheshimiana, usawa na kutokuingiliana katika masuala ya ndani ya nchi nyingine.
Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na mataifa mbalimbali duniani kwa lengo la kufungua fursa za biashara, uwekezaji na maendeleo kwa manufaa ya Watanzania.
Kitila umeshakuwa bilionea kwa kutuibia, lazima ujizime data ubwatuke kumfurahisha anayekufanya uende chooni na familia yako!Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zinalenga kutafuta washirika wa biashara na uwekezaji badala ya wafadhili, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa falsafa ya kuifungua Tanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, Prof. Kitila amesema Tanzania itaendelea kutafuta fursa za biashara na uwekezaji bila kuchagua upande wowote wa kisiasa duniani.
Amesema ziara ya Rais Samia nchini Urusi ni sehemu ya mkakati huo wa kutafuta washirika wa maendeleo na si misaada, huku akisisitiza kuwa Tanzania haitakubali kuchaguliwa marafiki au maadui na taifa lolote.
Prof. Kitila amesema msimamo huo si mpya kwani ulianzishwa tangu enzi za Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, aliyesisitiza kuwa Tanzania itadumisha urafiki na mataifa yote kwa misingi ya kuheshimiana, usawa na kutokuingiliana katika masuala ya ndani ya nchi nyingine.
Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na mataifa mbalimbali duniani kwa lengo la kufungua fursa za biashara, uwekezaji na maendeleo kwa manufaa ya Watanzania.
Kauli ya Prof. Kitila Mkumbo inasisitiza misingi imara ya Utaifa na Diplomasia ya Uhuru inayoiongoza Tanzania tangu enzi za Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zinalenga kutafuta washirika wa biashara na uwekezaji badala ya wafadhili, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa falsafa ya kuifungua Tanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, Prof. Kitila amesema Tanzania itaendelea kutafuta fursa za biashara na uwekezaji bila kuchagua upande wowote wa kisiasa duniani.
Amesema ziara ya Rais Samia nchini Urusi ni sehemu ya mkakati huo wa kutafuta washirika wa maendeleo na si misaada, huku akisisitiza kuwa Tanzania haitakubali kuchaguliwa marafiki au maadui na taifa lolote.
Prof. Kitila amesema msimamo huo si mpya kwani ulianzishwa tangu enzi za Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, aliyesisitiza kuwa Tanzania itadumisha urafiki na mataifa yote kwa misingi ya kuheshimiana, usawa na kutokuingiliana katika masuala ya ndani ya nchi nyingine.
Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na mataifa mbalimbali duniani kwa lengo la kufungua fursa za biashara, uwekezaji na maendeleo kwa manufaa ya Watanzania.
Hakuna mfungwa hapoTangu lini mfungwa akachagua gereza au tangu link changu akachagua gesti
Mwalimu hakuitumia NAM doctrine kama kichaka cha kukwepa uwajibikaji. Tunataka uwajibikaji kwa violations zao za human rights!Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zinalenga kutafuta washirika wa biashara na uwekezaji badala ya wafadhili, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa falsafa ya kuifungua Tanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, Prof. Kitila amesema Tanzania itaendelea kutafuta fursa za biashara na uwekezaji bila kuchagua upande wowote wa kisiasa duniani.
Amesema ziara ya Rais Samia nchini Urusi ni sehemu ya mkakati huo wa kutafuta washirika wa maendeleo na si misaada, huku akisisitiza kuwa Tanzania haitakubali kuchaguliwa marafiki au maadui na taifa lolote.
Prof. Kitila amesema msimamo huo si mpya kwani ulianzishwa tangu enzi za Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, aliyesisitiza kuwa Tanzania itadumisha urafiki na mataifa yote kwa misingi ya kuheshimiana, usawa na kutokuingiliana katika masuala ya ndani ya nchi nyingine.
Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na mataifa mbalimbali duniani kwa lengo la kufungua fursa za biashara, uwekezaji na maendeleo kwa manufaa ya Watanzania.
Professor jingaila huyu profesa
Wa majalalani ni wale ma prof wa hapa na pale mapimbi ya kijani!ila huyu profesa
[emoji28] You kill the dog!.Nani awapangie rafiki nanyie njaa yenu inawahangaisha kutembeza bakuli kama matonya? Mna rasilimali lukuki lakini kwa kukosa uzalendo mumeingia mikataba ya kimangungo kiasi hamnufaiki na utajiri huo kutwa kucha kuomba misaada, lazima muwekewe masharti tu, wahuni wakubwa nyie.
Hovyo kabisa haya mazeeWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zinalenga kutafuta washirika wa biashara na uwekezaji badala ya wafadhili, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa falsafa ya kuifungua Tanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, Prof. Kitila amesema Tanzania itaendelea kutafuta fursa za biashara na uwekezaji bila kuchagua upande wowote wa kisiasa duniani.
Amesema ziara ya Rais Samia nchini Urusi ni sehemu ya mkakati huo wa kutafuta washirika wa maendeleo na si misaada, huku akisisitiza kuwa Tanzania haitakubali kuchaguliwa marafiki au maadui na taifa lolote.
Prof. Kitila amesema msimamo huo si mpya kwani ulianzishwa tangu enzi za Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, aliyesisitiza kuwa Tanzania itadumisha urafiki na mataifa yote kwa misingi ya kuheshimiana, usawa na kutokuingiliana katika masuala ya ndani ya nchi nyingine.
Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na mataifa mbalimbali duniani kwa lengo la kufungua fursa za biashara, uwekezaji na maendeleo kwa manufaa ya Watanzania.
Lakini Sisi tunaweza kushinikiza mataifa mengine kuiwekea vikwazo Taifa jingine?? Rejea shinikizo la from lines States Kwa uingereza, USA uholanzi juu ya vikwazo Kwa Southern Rhodesia na South Africa.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zinalenga kutafuta washirika wa biashara na uwekezaji badala ya wafadhili, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa falsafa ya kuifungua Tanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.