Au hujaelewa kinacho ongelewa hapa.Mtanikumbuka
Wewe ndio hujaelewaAu hujaelewa kinacho ongelewa hapa.
Mtanikumbuka
Wakati ushauri mbaya unatolewa yeye alikuwa ACT Wazalendo?
😂😂😂😂😂..hakuwa mwanasheria mkuu wa serikali, au waziri ktk wizara husika.
Mlimtukana Lissu leo mmeanza kushtakiwa na bado.
Lisu naye alitaka pesa za wazungu tu hakuna la maanaMlimtukana Lissu leo mmeanza kushtakiwa na bado.
Sijaona kosa la pro amesema ukweli japo Kwa wasomi WA kitanzania si dizaini hiyo ,yeye Yuko tayari kukushauri alafu anaenda Kwa Yule mwekezaji akamwambia lengo la kufanya hivyo tutaishtaki serikali na utanipatia mgao wangu...Prof.Kitila anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara.
..Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala ya kuwaambia ukweli kuhusu madhara ya kuvunja mikataba ya kimataifa.
Sikiliza hoja ya kijani mwenzio ndipo uje tena, je tulishtakiwa au hatujashtakiwa?Lisu naye alitaka pesa za wazungu tu hakuna la maana
USSR
Sijaona kosa la pro amesema ukweli japo Kwa wasomi WA kitanzania si dizaini hiyo ,yeye Yuko tayari kukushauri alafu anaenda Kwa Yule mwekezaji akamwambia lengo la kufanya hivyo tutaishtaki serikali na utanipatia mgao wangu.