Hakuna pesa ilingiaSokiliza hoja ya kijani mwenzie ndipo uje tena, je tulishtakiwa au hatujashtakiwa?
Lissu aliwatahadhalisha mapema mkamtwanga risasi back mkaja humu ndani kudanganya umma kwamba hatujashtakiwa sasa leo mnaumbuana wenyewe. Oneni hata aibu!
Ujamaa na waamini wa ujamaa ni watu hatari sana, ubabe wa kijinga na hii bado upo sana.
Ila viongozi wa Africa ni watu hatari sana wakikuzunguka... bahati mbaya sana Magufuli hakuwajua wabaya wake.
Walikuwa wanamchekea huku wanafurahia perdiems..
hahusiki [emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]..hakuwa mwanasheria mkuu wa serikali, au waziri ktk wizara husika.
Ni hivi ngoja nikuambie Africa tunafanywa nyumbu na watu weupe Kwa Sababu nimemshuhudia moina mara kadhaa analalamika serikali au wasomi wetu kushindwa kuchukua hatua za kuwalipisha wawekezaji Kwa ucheweleshaji miradi au kufanya kinyume cha mkataba...viongozi wetu pia wamelelewa vibaya kiuongozi.
..mfumo umewadekeza sana kwa kuonea wananchi bila kuwajibika au consequences zozote.
..kwa mfano kiongozi anaweza kutoa uamuzi nyumba za wananchi zivunjwe na kusitokee athari zozote kwake. Na wananchi hawana mahali pa kwenda kulalamika kwasababu viongozi wetu wana-control kila kitu ikiwemo mahakama.
..sasa tabia hizohizo wanakwenda nazo ktk kufanya maamuzi dhidi ya wawekezaji. lakini hawa wawekezaji hawana tabia za kinyonge-nyonge kama Watanzania wa kawaida. Pia wawekezaji wana option ya kwenda kutafuta haki zao nje ya nchi ambako viongozi hawana control au mamlaka.
Wasiwasi tu!..Prof.Kitila anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara.
..Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala ya kuwaambia ukweli kuhusu madhara ya kuvunja mikataba ya kimataifa.
Takataka hilo lijitu eti ni Professor. Ni kwa vile halikupata kuitwa kumshauri magufuli, lingeangalia midomo ya magufuli inacheza vipi nalo lingepitishia hapo hapo. Limeogwa na magufuli na kuhamia CCM, kuna ushauri mbaya kama huo> Bladifaken..Prof.Kitila anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara.
..Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala ya kuwaambia ukweli kuhusu madhara ya kuvunja mikataba ya kimataifa.
Ni hivi ngoja nikuambie Africa tunafanywa nyumbu na watu weupe Kwa Sababu nimemshuhudia moina mara kadhaa analalamika serikali au wasomi wetu kushindwa kuchukua hatua za kuwalipisha wawekezaji Kwa ucheweleshaji miradi au kufanya kinyume cha mkataba.
mambo haya ni Kwa Sababu ya tunaamini kumpiga faini mwekezaji ni kumfukuza lakini wanatufanyia Mambo ya ovyo sana na unyanyasaji Kwa Sababu hatuna wataalamu.
Magufuli namtolea mfano hapa kwamba yeye kama mwanadamu alikuwa anaumia kuona watanzania tunafanywa kama wajinga japo mikataba tuliyoingia nayo hizo kampuni ni ya kinyonyaji.
Ni Sawa na umempangisha mpangaji kwenye nyumba unayoishi alafu amekulipa Kodi ya mwaka alafu anafanya matendo ambayo yanakuudhi Ila ukivunja mkataba unatakiwa umlipe fidia na ukimuacha anazidi kukuharibia familia anatembea na mkeo na watoto hivi utasubiri mkataba uishe au utafukuza kulinda hadhi yako.
Mikataba mingi ya madini Ni ya kinyonyaji na moja ya masharti ya unapomlazimisha au kumshawishi mwekezaji ni kwamba mikataba itakuwa ni Siri haiwekwi hadharani wala kujadiliwa .
Jambo ili serikalini hawataki kuliweka wazi lakini ndio ukweli kwamba wawekezaji wanatoa sharti kwamba kama unataka niwekeze Tanzania mikataba haitojadiliwa mpaka tutakaposainishana wakilenga kwamba kitendo cha kujadiliwa na WANANCHI kutaleta sintofahamu au kukataliwa .
Na hii inayoshikiliwa Uholanzi ni kosa la mwaka ganiNi muhimu kwanza kutambua kesi hizo 7 ni za madai gani? Kama mtakumbuka ndege yetu ilizuiwa Canada na South kwa madai ya mwaka 1974. Je, hilo lilikuwa kosa la nani?
Kwa nin tusipambane na hao Waliongia mkataba wa kihuni kwanza..Prof.Kitila anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara.
..Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala ya kuwaambia ukweli kuhusu madhara ya kuvunja mikataba ya kimataifa.
Ni muhimu kwanza kutambua kesi hizo 7 ni za madai gani? Kama mtakumbuka ndege yetu ilizuiwa Canada na South kwa madai ya mwaka 1974. Je, hilo lilikuwa kosa la nani?
Hao ndo wa kudeal nao kwanzaSijaona kosa la pro amesema ukweli japo Kwa wasomi WA kitanzania si dizaini hiyo ,yeye Yuko tayari kukushauri alafu anaenda Kwa Yule mwekezaji akamwambia lengo la kufanya hivyo tutaishtaki serikali na utanipatia mgao wangu.
Jibu ulichouliza sio kujitungia swali na kujijibbu unavyotaka..bombadier iliyokuwa imeshikiliwa Canada 2016/17 ilitokana na kesi ya Magufuli kuvunja mkataba wakati akiwa waziri wa ujenzi.
Tatizo aliwaambia ukweli uliokua mchungu. Aliwaambia ripoti ya mchongo mkabisha sahivi Kabudi kakiri kuwa ripoti ilikua ya kubumba kuwatisha wazungu!!Lisu naye alitaka pesa za wazungu tu hakuna la maana
USSR
Heshima kwako JokaKuu . Huyu jamaa ni wale wale tu. Haya alitakiwa ayaseme wakati yanafanyika na siyo kusubiri baada ya kuona Magufuli and co hawapo kwenye ulaji ndiyo aseme. Nina uhakika hata Magufuli angekuwepo mpaka sasa asingesema haya. Jamaa nimeshamdharau sana huyu na hana tofauti na hao anaowasema...hakuwa mwanasheria mkuu wa serikali, au waziri ktk wizara husika.
Hapa mwanasheria mkuu wa serikali ana kesi ya kujibu.Kabudi na mruma hao