Hapana, alikuwa Wizira ofisi ya rais wakati kitengo cha TIC kuhamishiwa Ofisi ya rais chini ya Mama Kariuki kama sikosei....kipindi hicho Prof.Kitila alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
..suala hili wanaopaswa kubeba lawama ni Prof.Kabudi, na Prof.Kilangi.
Haya mapungufu unayodai ni mapungufu, kiuhalisia siyo Mapungufu. Itoshe Kusema ni Mfumo uliojengwa na ni wa Kibeberu zaidi na ndio unaotumika na Wawekezaji zaidi kuliko Viongozi au Serikali za Kiafrika-its a zero sum game.mfumo umewadekeza sana kwa kuonea wananchi bila kuwajibika au consequences zozote.
Tofauti ya mtoa maamuzi hapa hauondoi dhuluma ila huwa nazo zinatumika na Nchi tunazo taka kufanyia ulinganishi wa nani anayefanya kwa haki. Tofauti hapa ni nani aliyefanya hivi(Mweusi)Hayati Raisi Kiongozi aliyekuwa akihamasisha kuondokana na fikra na mawazo ya 'Unyonge' dhidi ya maamuzi yetu na yaliyo na tija Kwa mwananchi vs "Wawekezaji' au Mabeberu. Unatumia reverse psycology lakini kiuhalisia, maamuzi hayo yametokana na "Sheria" zillizoasisiwa na kurithishwa kutoka kwa "Wakoloni" na ambazo kwa wakati huo zilizokuwa na lengo za kuwaburuza wanyonge. Walakin akitumia Mwafrika sheria hiyo hiyo, yeye huambiwa amepitiliza madaraka yake na ni Dikteta-Hayati alitumia Sheria aliyorithishwa. Na mnapindisha hakutenda haki wakati Sheria na nguvu ya Dola inampatia uwezo huo kisheria. Hakika, kwa hoja mnazojenga kuwa haikuwa haki, ni uthibitisho kuwa sheria za Ukoloni na Ukoloni mamboleo unaegemea kutoa haki kwao tu. Na kwamba Mwafrika akitumia msumeno huo huo basi anayepata machungu hayo ni Mzungu.kwa mfano kiongozi anaweza kutoa uamuzi nyumba za wananchi zivunjwe na kusitokee athari zozote kwake.
Hawa "Wananchi" unaodai ndio Wanaolalamika na uhakika unasema/unamaanisha "Wawekezaji".....Ukweli ni kuwa Wananchi wanaolalalamika kila uchwao ni wale wanaobaki na kubaki na Umasikini hususan katika maeneo yanapo patikana Madini Wakati Wazungu/Mabeberu wakifaidika mara 1000+ Hayati alitaka kubadilisha mwenendo huo(status quo) ila kwasababu ya kukuta tayari Wawekezaji wanakuja na Uliyodhihirisha hapa kuwaNa wananchi hawana mahali pa kwenda kulalamika kwasababu viongozi wetu wana-control kila kitu ikiwemo mahakama.
lakini hawa wawekezaji hawana tabia za kinyonge-nyonge kama Watanzania wa kawaida
Hiyo option ndio inayowapa Kiburi. Hiyo option ndio inawapa kiburi "Wananchi" uliowataja huko juu na sio option walioipata "Wananchi" wanyonge wa Nchi yetu. Na pale inapotokea watetezi wa 'option' mna waua. It is Documented and it has been proved.Pia wawekezaji wana option ya kwenda kutafuta haki zao nje ya nchi ambako viongozi hawana control au mamlaka.
Tuliweka tahadhari gani wakati Magufuli alikuwa akibeza barakoa utadhani kitu gani. Alikuwa akiziita "matambara ya puani", siku nyingine akasema "zinafanana na titi la mwanamke". Mawaziri wake akawapiga marufuku kuvaa barakoa in his audience, akaenda church akamsifu paster ambaye hajavaa barakoa.Una hakika gani kama JPM aliguswa na Covid -19? Mkuu huyu ni President of Tanzania! Wameugua kina Trump na viongozi kibao tumeona wakipelekwa hospital na wakapona. Huyu hata hospital hatujui kaugua lini na alipelekwa wapi! Kisha viongozi walokufa Afrika ni wale walopinga kufunga nchi, sii swala.la.kukataa ugonjwa. Magu hakupinga Ckvid -19 hilo uongo, tuliweka tahadhali kubwa kuliko wakati wowote ule, ila JPM alipinga Chanjo! Baada ya kifo chake tukakubali chanjo na Covid iliisha ghafla kama haikuwepo..
Naenda na fact kwa sababu kuna jamaa kamzungumia huyo mzungu kuhusiana na ndege yetu kukamatwa Canada. Tatizo lenu mnachanganya mada iwe kesi hizi 7 au kwa nini ndege zetu zilikamatwa. Kesi hizi zinasomwa mahakama tofauti sii lazima nchi moja
Tuliweka gani tahadhari wakati Magufuli alikuwa akibeza barakoa utadhani kitu gani. Alikuwa akiziita "matambara ya puani", siku nyingine akasema "zinafanana na titi la mwanamke". Mawaziri wake akawapiga marufuku kuvaa barakoa in his audience, akaenda church akamsifu paster ambaye hajavaa barakoa.
Magufuli alihandle vizuri wave ya kwanza ya Covid siyo ya pili. Ya pili alideny kabisa uwepo wake mpaka maaskofu wakatoliki walipotoka na kujilipua wazi kutangazia umma kiwa wanapoteza watawa wao wengi sana
Rudi kasome tena kesi zenyewe halafu rudi ujadili, sio kubeba vitu wakati huujui ukweli....zimekamatwa ndege tatu.
..bombadier iliyokamatwa Canada kwa kesi ya mkandarasi aliyevunjiwa mkataba na Magu wakati akiwa waziri wa ujenzi.
..airbus iliyokamatwa Afrika Kusini kutokana na kesi ya mzungu aliyenyang'anywa mali zake wakati wa utawala wa Nyerere.
..Boeing inayoshikiliwa Uholanzi. Madai ya kesi hii siyafahamu.
Sasa Mkuu mtu akipinga kuvaa Barakoa ndio atakufa au? Watu wangapi hawakuvaa Barakoa na leo wapo hai. Watu wangapi waliugua Covid-19 Tanzania na bado wapo hai. Hakuna guarantee ya kupona ana kufa kwa sababu unapinga.Tuliweka tahadhari gani wakati Magufuli alikuwa akibeza barakoa utadhani kitu gani. Alikuwa akiziita "matambara ya puani", siku nyingine akasema "zinafanana na titi la mwanamke". Mawaziri wake akawapiga marufuku kuvaa barakoa in his audience, akaenda church akamsifu paster ambaye hajavaa barakoa.
Magufuli alihandle vizuri wave ya kwanza ya Covid siyo ya pili. Ya pili alideny kabisa uwepo wake mpaka maaskofu wakatoliki walipotoka na kujilipua wazi kutangazia umma kuwa wanapoteza watawa wao wengi sana.
Really?Hata Miti shamba dawa, kama huamini nenda mortuary katazama maiti zilolala huko!
Covid imeua mamilioni including watu wengi wazito, Magufuli yeye ni nani hata imuogope?.Sasa Mkuu mtu akipinga kuvaa Barakoa ndio atakufa au? Watu wangapi hawakuvaa Barakoa na leo wapo hai. Watu wangapi waliugua Covid-19 Tanzania na bado wapo hai. Hakuna guarantee ya kupona ana kufa kwa sababu unapinga.
Hoha inabaki palepale, JPM alikuwa rais wa JMT, alipigiwa kelele aondike Chato alikojificha aje Dar. Kafika Dar umauti umemkuta tukaambiwa tatizo la moyo. Nyie mnasema ni covid-19 kwa report ya nani? Huo moyo pia kwa report ipi? Maana Lissu alitutangazia maoema JPM kisha kufa siku tatu kabla. Tunachojua sisi alipelekwa kwa Mzena sio Muhimbili wala Mloganzila.
Sii kosa kuhoji afya ya kiongozi wangu iwe JK, Mkapa au nani maana hata Nyerere wakati ule nilihoji humu nilipomsikia Warioba akisema alimkuta mwalimu kule nyumbani kwake Butiama anaumwa Mkanda wa jeshi akiuguzwa na Mkewe mama Maria! Nilijiuliza hivi kweli Mwalimu hata kama anaumwa Malaria ni mtu wa kuhudumiwa na mkewe?
Hakuna ujinga katika kuamini dawa hii ya miti shamba inaweza kuponya maradhi yasokuwa na dawa za Hospital kama kisukari.Really?
Mti shamba dawa ndiyo uende kunywa kikombe cha babu random dawa ya miujiza masharti kama ya mchawi.
Mkuu na wewe ni mmoja kati ya watu mlioamini ujinga wa kikombe cha babu?
Sijasema hakuna watu walokufa na Covid -19 lakini kwa Magu wewe umepewa taarifa hizo na nani? Peter yule wa Royal tour? Daktari gani umemsikia akitoa taarifa hiyo?Covid imeua mamilioni including watu wengi wazito, Magufuli yeye ni nani hata imuogope?.
Maalim Seif imemuondoa, Kwanini imshindwe Magufuli?
Hiyo dawa ya mitishamba unajua hata chemical formula yake?Hakuna ujinga katika kuamini dawa hii ya miti shamba inaweza kuponya maradhi yasokuwa na dawa za Hospital kama kisukari.
Binafsi sikuamini kwa sababu sikuwa mgonjwa wa kisukari lengine ningekuwa naumwa ningekunywa kikombe pahala popote. The fact is natumia sana miti shamba hapa nilipo kuliko dawa za Hospital. Nakunywa na Nafukiza kwa imani kama walivyojiponya wazee wetu.
Labda nisherehe kusema sikuchanja chanjo yoyote ya Covid -19 na namshukuru Mungu sijaugua hata Covid yenyewe!
Alhamdulillah
Mkuu JokaKuu , kwanza asante kwa bandiko hili, very insightful, pili kwa ruhusa yako nitalitumia bandiko hili kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani, ila hizi hoja za Prof. Kitila ni very valid...Prof.Kitila anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara.
..Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala ya kuwaambia ukweli kuhusu madhara ya kuvunja mikataba ya kimataifa.
PWanabodi,
Kitakacho Tokea
Kitakacho tokea ni ama baadhi ya vipengele vya sheria hii mpya vitapuuzwa, ama ili kuepuka aibu ya kupitisha sheria mbovu kwa mbwembwe, serikali itapeleka kimya kimya, marekebisho ya baadhi ya vipengele vya sheria hii, kikiwepo hicho kipengele cha arbitration, kitaondolewa ili kurejesha confidence kwa wawekezaji. Kwenye hili, time will tell, kama Nyerere na Sokoine walikuwa ni wakali ukweli ukweli, lakini walishindwa, hivyo kwenye hili la sheria kutekelezwa kwa retroactively, naowaomba mimi niwe mkweli bayana wa nafsi yangu, Mwalimu wangu Prof. Kabudi na wanasheria wake, waliotunga sheria hii kwa mtindo wa zimamoto, wamemdanganya rais Magufuli kwa kumtungia sheria yenye vipengele vya ajabu, halafu rais aka accent, then sheria hii itashindwa kutekelezwa, hivyo soon watapeleka marekebisho Bungeni na kumrudia rais a accent marekebisho hayo, na hili likitokea, naombeni hoja za bandiko hili zizingatiwe, Tanzania tutaonekana ni nchi ya ajabu, tunatunga sheria za ajabu kwa mbwembwe, tunazipitisha kwa mbwembwe, rais wetu ana zi accent kwa mbwembwe, lakini katika utekelezaji ndipo tunajikuta kumbe Bunge letu, na serikali yetu, iliyosheheni wanasheria manguli tena wengine ni waalimu wetu wa sheria wa chuo chetu kikuu cha Dar es Salaam ambao sisi tulipokuwa wanafunzi tukisomea sheria, waalimu hawa ndio waliotufundisha kuwa sheria yoyote inayotungwa kama ita act retroactively is a bad law, it's illegal, lakini leo, waalimu hawa hawa ndio wamegeuka wanasiasa na wao sasa ndio hawa wametunga illegal law, wakaipitisha, wakampelekea rais akaisaini ianze kutumika, huku wanajua fika retroactively law is illegal law kwenye jumuiya ya Madola, lakini bado wamepitisha, sasa siku ya kurejea Bungeni kuyarekebisha haya madudu yao ya kisheria, hizi sura zao wataziweka wapi?.
Paskali
Nafanya sana utafiti hata wewe unaweza ku google inategemea unataka kufanya nini mwilini hata mazoezi ni dawa.Hiyo dawa ya mitishamba unajua hata chemical formula yake?
You are an anti-vaxxer, I am not surprised by your dilapidated illogical views.
Utafiti wako ndo umekufanya uwe anti-vaxxer?Nafanya sana utafiti hata wewe unaweza ku google inategenea uataka kufanya nini.
Kwa mfano kuzuia Flu na Maradhi ya SAR natumia vitunguu maji, limao, karafuu, kunywa na kujifikiza. Pia maziwa na Bizari kavu hunywa. Hutafuna mbegu za mronge. Toxic naondoka kwa kuchemsha maganda ya nanasi na matango.
Nadhani itakusaidia hata wewe, jifunze kutumia organic plants ni dawa asilia.
Ni hivi ngoja nikuambie Africa tunafanywa nyumbu na watu weupe Kwa Sababu nimemshuhudia moina mara kadhaa analalamika serikali au wasomi wetu kushindwa kuchukua hatua za kuwalipisha wawekezaji Kwa ucheweleshaji miradi au kufanya kinyume cha mkataba.
mambo haya ni Kwa Sababu ya tunaamini kumpiga faini mwekezaji ni kumfukuza lakini wanatufanyia Mambo ya ovyo sana na unyanyasaji Kwa Sababu hatuna wataalamu.
Magufuli namtolea mfano hapa kwamba yeye kama mwanadamu alikuwa anaumia kuona watanzania tunafanywa kama wajinga japo mikataba tuliyoingia nayo hizo kampuni ni ya kinyonyaji.
Ni Sawa na umempangisha mpangaji kwenye nyumba unayoishi alafu amekulipa Kodi ya mwaka alafu anafanya matendo ambayo yanakuudhi Ila ukivunja mkataba unatakiwa umlipe fidia na ukimuacha anazidi kukuharibia familia anatembea na mkeo na watoto hivi utasubiri mkataba uishe au utafukuza kulinda hadhi yako.
Mikataba mingi ya madini Ni ya kinyonyaji na moja ya masharti ya unapomlazimisha au kumshawishi mwekezaji ni kwamba mikataba itakuwa ni Siri haiwekwi hadharani wala kujadiliwa .
Jambo ili serikalini hawataki kuliweka wazi lakini ndio ukweli kwamba wawekezaji wanatoa sharti kwamba kama unataka niwekeze Tanzania mikataba haitojadiliwa mpaka tutakaposainishana wakilenga kwamba kitendo cha kujadiliwa na WANANCHI kutaleta sintofahamu au kukataliwa .
Paper za nini? Nafanya haya kwa ajili ya afya yangu mimi. Ukitaka karibu sana..Utafiti wako ndo umekufanya uwe anti-vaxxer?
Umechapisha papers ngapi mpaka sasa? Ziko wapi?
Si wanapima upepo yule ameshtaki Amelipwa kwa nini mimi nisishtaki ili nilipwe wanaangalia na aina ya rais na utawala uliopoHayo makampuni yalingoja mpaka mwamba aondoke ndio wafungue mashtaka ya kuvunja mikataba ya madini ??!! Wakati akiwa Hai aliyevunja mikataba walikuwa wanamuogopa kumshitaki ??!! Ukistaajabu ya Musa ……….. !! Michongo inakuja !!
Kuna ndugu yangu alidevelop matatizo ya tumbo baada ya kugonga sana malimau na matangawizi kipindi kile cha Covid. Sasa hivi tumeshamzikaNafanya sana utafiti hata wewe unaweza ku google inategemea unataka kufanya nini mwilini hata mazoezi ni dawa.
Kwa mfano kuzuia Flu na Maradhi ya SAR natumia vitunguu maji, limao, karafuu, kunywa na kujifukiza. Pia maziwa na Bizari kavu hunywa. Hutafuna mbegu za mronge kila mara.Toxic naondosha kwa kuchemsha maganda ya nanasi na matango.
Nadhani itakusaidia hata wewe, jifunze kutumia organic plants ni dawa asilia.
Chawa saa 100 kila baya ni jpmSio kweli, kesi iihusiana na shamba la Msouth lilotaifishwa na Serikali.. Mambo mengine jamani acheni chuki zenu muwe wakweli.
Uongozi tu samia wala hajishughulish na hayo madin yeye anaangalia tozo ndo rahisi kwakeTazama records ya Uuzaji madini kwa Tanzania. Mwaka 2019 ndio tuliuza dhahabu nyingi tani 55 kwa mwaka, leo tumeshuka hadi tani 43 ni sababu gani ikiwa sheria ni zile zile mbovu..