Nadhani inawezekana, ila gharama zake zitakuwa ni za juu sana ni bora kununua Pantoni mbili kubwa.Wakifanya 'visibility' study watagundua kuwa haiwezekani.
Kina cha bahari ni kirefu sana. Watalazimika kujenga nguzo zenye urefu wa mita mia tano kitu ambacho kiuhandisi hakiwezekani.
Uhitaji wa hilo daraja ni Mkubwa, wapo abiria wengi wanalazimika kusafiri na boat Kwa gharama kubwa ni kwasababu hakuna mabasi yaendayo Zanzibar.Hakuna mwekezaji ataweka zaidi ya trillion 100 kujenga Daraja akisubiri kurudisha pesa kwa kulipisha wanaovuka
Pia hiyo gharama tu ni kubwa sana hakuna mwekezaji wa hivyo. Pia tu hakuna mahitaji hayo ya Daraja
Litakuja kujengwa pengine miaka ya baadae sana huko mbeleni
Na hiyo ndiyo changamoto iliyopo. Mzigo Mkubwa wa gharama anabebeshwa mlaji wa mwisho ambaye ni mlalahoi tu..suala ni mzigo wa gharama kwa walalahoi.
Bro mahitaji yanapimwa hivyo kweli? Ni sawa na kusema useme Kuna mahitaji ya kujenga Daraja kutoka musoma kwenda bukoba sababu watu wa musoma hutumia gharama kubwa kuvukaUhitaji wa hilo daraja ni Mkubwa, wapo abiria wengi wanalazimika kusafiri na boat Kwa gharama kubwa ni kwasababu hakuna mabasi yaendayo Zanzibar.
Na ukiangalia nauli za ndege DSM - Zanzibar sio Chini ya 100k
Ni matumaini yangu kwamba iwapo Mradi huo utajengwa, na Serikali ikapunguza mlolongo wa vibali vya mtu kuvuka kwenda Zanzibar na kurudi DSM basi utakuja kuwa ni Mradi mzuri sana kujengea.
Nafikiri ndani ya miaka 20 hadi 30 mwekezaji atakuwa amerudisha fedha yake ya Ujenzi.
Kwa nini asiwekeze kama atapata faida? Swala sio urefu Bali faida ya kibiasharaMuwekezaji gani atathubutu kuwekeza kwenye daraja refu hivyo, na la gharama kwenye nchi ambayo rais ni Mungu mtu ambapo anaweza kujifanya mzalendo na kuishia kumkomoa huyo muwekezaji?
Kwa nini?Sasa hapa napo Dotto Magari akiwasema "wasomi" kwa maneno yake ya shombo mtakasirika?
Kwa wewe mjinga
Nakazia, airhead ChoiceVariable soma hii upunguze ujingaHakuna mwekezaji ataweka zaidi ya trillion 100 kujenga Daraja akisubiri kurudisha pesa kwa kulipisha wanaovuka
Pia hiyo gharama tu ni kubwa sana hakuna mwekezaji wa hivyo. Pia tu hakuna mahitaji hayo ya Daraja
Litakuja kujengwa pengine miaka ya baadae sana huko mbeleni
Kuna baadhi ya vitu tumia common sense tu wala usipoteze muda kujadili, unless iwe unajifurahishaKwa nini?
Afanyie kazi? Kwani unafikiri mradi huo unaweza kua kipaumbele? Hela ngapi zitatumika? Je mradi huo utaweza kulipa? ..Ni wazo sio muda wake kabisa. Kuna vipaumbele muhimu kwa maendeleo ya umma wetu.Akichangia mada kwenye kongamano la Uwekezaji kati ya China-Tanzania msomi wa UDSM ameshauri Serikali kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar Kwa kushirikiana na China.
Akijibu hoja hiyo Waziri wa uwekezaji prof.Kitila mkumbo amesema Serikali Imepokea Ushauri na itaufanyia kazi.
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1826635489950220573?t=qhv8EzR9Yg2lI2iijVWqOw&s=19
My Take
Mfikirie pia kujenga daraja au Trum kati ya Tanzania-DRC Congo via Lake Tanganyika
Yamejengwa China,Dola bln 40 ni pesa nyingi Kwa Tanzania ila sio Kwa wawekezaji.It's impossible kwa miaka hii ya karibuni
Kuna namna nyingi ya kiongozi kujibu swali, hivyo alivyojibu ni moja ya namna nzuri
Mradi kama huu unazungumzia zaidi ya trillion 100. Hakuna mwekezaji anakuja kuwekeza trillion 100 akujengee daraja, hiyo ni investment kubwa mno alafu malipo yake nu kulipisha wanaovuka. It's impossible
Pia jiografia ya eneo Kati ya dar na Zanzibar ni ngumu mno, itatumika miaka teknolojia ya juu kufanya hiko kitu ambacho uhalisia hakuna atafanya
Hapa unazungumzia Tanzania nchi ya ulimwengu wa 3Yamejengwa China,Dola bln 40 ni pesa nyingi Kwa Tanzania ila sio Kwa wawekezaji.
Hii ni kwa wapi?! ninavyojua dsm-znz ni 80+ kms.Utapeli upi? Sio mara ya kwanza Hilo wazo na Wachina wamejenga daraja huko kwao la zaidi ya km 60 ,tutawatumia hao hao kujenga umbali huo usiozidi km 50
Tena itapendeza lipite chini ya majiAkichangia mada kwenye kongamano la Uwekezaji kati ya China-Tanzania msomi wa UDSM ameshauri Serikali kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar Kwa kushirikiana na China.
Akijibu hoja hiyo Waziri wa uwekezaji prof.Kitila mkumbo amesema Serikali Imepokea Ushauri na itaufanyia kazi.
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1826635489950220573?t=qhv8EzR9Yg2lI2iijVWqOw&s=19
My Take
Mfikirie pia kujenga daraja au Trum kati ya Tanzania-DRC Congo via Lake Tanganyika
Kwa faida ipi?Litajengwa Kwa njia ya PPP yaani linajengwa na private sector so litakuwa la kulipia
Tokea bagamoyoHii ni kwa wapi?! ninavyojua dsm-znz ni 80+ kms.
Ushaambiwa PPP kama hujui maana yake ungeuliza na sio kujiaibisha tu, Sasa mtu binafsi akijenga Daraja lake Deni linatoka wapi? Wewe leo ukijenga Ghorofa ama ukanunua Gari Serikali inaangamia kwa madeni?
Kwa Sasa hivi meli na wanaosafiri Kwa ndege wanapata faida gani?Kwa faida ipi?