Prof Kitila: Serikali Imepokea Ushauri wa Kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar

Prof Kitila: Serikali Imepokea Ushauri wa Kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar

Wakifanya 'visibility' study watagundua kuwa haiwezekani.
Kina cha bahari ni kirefu sana. Watalazimika kujenga nguzo zenye urefu wa mita mia tano kitu ambacho kiuhandisi hakiwezekani.
Nadhani inawezekana, ila gharama zake zitakuwa ni za juu sana ni bora kununua Pantoni mbili kubwa.
 
Hakuna mwekezaji ataweka zaidi ya trillion 100 kujenga Daraja akisubiri kurudisha pesa kwa kulipisha wanaovuka
Pia hiyo gharama tu ni kubwa sana hakuna mwekezaji wa hivyo. Pia tu hakuna mahitaji hayo ya Daraja

Litakuja kujengwa pengine miaka ya baadae sana huko mbeleni
Uhitaji wa hilo daraja ni Mkubwa, wapo abiria wengi wanalazimika kusafiri na boat Kwa gharama kubwa ni kwasababu hakuna mabasi yaendayo Zanzibar.

Na ukiangalia nauli za ndege DSM - Zanzibar sio Chini ya 100k

Ni matumaini yangu kwamba iwapo Mradi huo utajengwa, na Serikali ikapunguza mlolongo wa vibali vya mtu kuvuka kwenda Zanzibar na kurudi DSM basi utakuja kuwa ni Mradi mzuri sana kujengea.

Nafikiri ndani ya miaka 20 hadi 30 mwekezaji atakuwa amerudisha fedha yake ya Ujenzi.
 
Bro mahitaji yanapimwa hivyo kweli? Ni sawa na kusema useme Kuna mahitaji ya kujenga Daraja kutoka musoma kwenda bukoba sababu watu wa musoma hutumia gharama kubwa kuvuka

Ndani ya miaka 20 au 30 mwekezaji atakua karudisha pesa yake? Mradi wa zaidi ya trillion 100 unarudisha pesa kwa miaka 20 hadi 30? Kwa pesa za wanaovuka? Sidhani unamaanisha

Pia huyo mwekezaji wa kuweka pesa kujenga Daraja kwa gharama hizo yupo wapi dunia hii?? Naomba kumjua
Mradi tu wa bandari kwa trillion 20 jasho lilimtoka miaka zaidi ya 10 ni mvutano. Ije kuwa daraja
 
Muwekezaji gani atathubutu kuwekeza kwenye daraja refu hivyo, na la gharama kwenye nchi ambayo rais ni Mungu mtu ambapo anaweza kujifanya mzalendo na kuishia kumkomoa huyo muwekezaji?
Kwa nini asiwekeze kama atapata faida? Swala sio urefu Bali faida ya kibiashara
 
Kwa wewe mjinga

Hakuna mwekezaji ataweka zaidi ya trillion 100 kujenga Daraja akisubiri kurudisha pesa kwa kulipisha wanaovuka
Pia hiyo gharama tu ni kubwa sana hakuna mwekezaji wa hivyo. Pia tu hakuna mahitaji hayo ya Daraja

Litakuja kujengwa pengine miaka ya baadae sana huko mbeleni
Nakazia, airhead ChoiceVariable soma hii upunguze ujinga
 
Akichangia mada kwenye kongamano la Uwekezaji kati ya China-Tanzania msomi wa UDSM ameshauri Serikali kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar Kwa kushirikiana na China.

Akijibu hoja hiyo Waziri wa uwekezaji prof.Kitila mkumbo amesema Serikali Imepokea Ushauri na itaufanyia kazi.

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1826635489950220573?t=qhv8EzR9Yg2lI2iijVWqOw&s=19

My Take
Mfikirie pia kujenga daraja au Trum kati ya Tanzania-DRC Congo via Lake Tanganyika

Afanyie kazi? Kwani unafikiri mradi huo unaweza kua kipaumbele? Hela ngapi zitatumika? Je mradi huo utaweza kulipa? ..Ni wazo sio muda wake kabisa. Kuna vipaumbele muhimu kwa maendeleo ya umma wetu.
 
It's impossible kwa miaka hii ya karibuni
Kuna namna nyingi ya kiongozi kujibu swali, hivyo alivyojibu ni moja ya namna nzuri

Mradi kama huu unazungumzia zaidi ya trillion 100. Hakuna mwekezaji anakuja kuwekeza trillion 100 akujengee daraja, hiyo ni investment kubwa mno alafu malipo yake nu kulipisha wanaovuka. It's impossible

Pia jiografia ya eneo Kati ya dar na Zanzibar ni ngumu mno, itatumika miaka teknolojia ya juu kufanya hiko kitu ambacho uhalisia hakuna atafanya
Yamejengwa China,Dola bln 40 ni pesa nyingi Kwa Tanzania ila sio Kwa wawekezaji.
 
Yamejengwa China,Dola bln 40 ni pesa nyingi Kwa Tanzania ila sio Kwa wawekezaji.
Hapa unazungumzia Tanzania nchi ya ulimwengu wa 3
Dola bil 40 ni zaidi ya trillion 100. Hakuna mwekezaji kichaa anayeweza kuwekeza hivi kujenga Daraja. Ndio maana nakuambia tumia common sense

Kitu kikubwa Kama bandari th kwa trillion 20, miaka zaidi ya 10 ni mvutano.
 
Akichangia mada kwenye kongamano la Uwekezaji kati ya China-Tanzania msomi wa UDSM ameshauri Serikali kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar Kwa kushirikiana na China.

Akijibu hoja hiyo Waziri wa uwekezaji prof.Kitila mkumbo amesema Serikali Imepokea Ushauri na itaufanyia kazi.

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1826635489950220573?t=qhv8EzR9Yg2lI2iijVWqOw&s=19

My Take
Mfikirie pia kujenga daraja au Trum kati ya Tanzania-DRC Congo via Lake Tanganyika

Tena itapendeza lipite chini ya maji
 
Ushaambiwa PPP kama hujui maana yake ungeuliza na sio kujiaibisha tu, Sasa mtu binafsi akijenga Daraja lake Deni linatoka wapi? Wewe leo ukijenga Ghorofa ama ukanunua Gari Serikali inaangamia kwa madeni?

Hakuna mtu binafsi au kampuni binafsi au kampuni inayomilikiwa na Dola Ngeni (serikali) inaweza kujenga daraja kubwa bila nchi kupigwa mnada, maana lazima serikali ya Tanganyika isaini mikataba ya ajabu kama ya DP World ili mwekezaji aje afanye mradi katika nchi dizaini ya Tanzania.

PPPs are used to conceal public borrowing, while providing
long-term state guarantees for profits to private companies.
Private sector corporations must maximise profits if they
are to survive. This is fundamentally incompatible with
protecting the environment and ensuring universal access to
quality public services.....

READ more :
Public Services International
https://www.world-psi.org › f...PDF
Why public-private partnerships don't work

... countries both rich and poor. It demystifies the shadowy PPP processes....
 
Back
Top Bottom