Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast, amesema wakati akiwa kama Mkufunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam maslahi katika ualimu unalipa zaidi kuliko kwenye Siasa
"Kuwa mwanasiasa ina heshima yake, unatana na wananchi. Hamna kitu raha kama kutumikia, unahudumia wananchi moja kwa moja, unatatua changamoto zao. Hiyo ni raha sana. Lakini kwa maana ya maslahi binafsi ukinieleza mimi, hapana, nitakwambia kwamba nikiwa chuoni nilikuwa na-good time."