Siasa ni sifa.Sasa kwanini asiondoke bungeni akawe mwalimu?
Au huo ualimu umeanza kulipa jana akiwa tayari mbunge!.
Isee kumbe kuna walimu ajira mpya hawana hata miaka 3 na wameshanunua viet mbilimbili jamani walimu mnasiri nyie..hamsemi na mnadiplomatic passport kumbe na mnakaa kwenye apartment nzuri tu za masaki na osterbay jamani walimu walimu nyie vibaya hivyo..Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast, amesema wakati akiwa kama Mkufunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam maslahi katika ualimu unalipa zaidi kuliko kwenye Siasa
"Kuwa mwanasiasa ina heshima yake, unatana na wananchi. Hamna kitu raha kama kutumikia, unahudumia wananchi moja kwa moja, unatatua changamoto zao. Hiyo ni raha sana. Lakini kwa maana ya maslahi binafsi ukinieleza mimi, hapana, nitakwambia kwamba nikiwa chuoni nilikuwa na-good time."
Chief the Hon. Nanga alisema “…Teaching is a very nobel profession…”Kama ni hivyo kwanini uliondoka?
Ameshiba hela za walipa kodi, sasa anatapika tu mashudu.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast, amesema wakati akiwa kama Mkufunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam maslahi katika ualimu unalipa zaidi kuliko kwenye Siasa
"Kuwa mwanasiasa ina heshima yake, unatana na wananchi. Hamna kitu raha kama kutumikia, unahudumia wananchi moja kwa moja, unatatua changamoto zao. Hiyo ni raha sana. Lakini kwa maana ya maslahi binafsi ukinieleza mimi, hapana, nitakwambia kwamba nikiwa chuoni nilikuwa na-good time."
Hata huku kwetu vijana wapi,maana ni shule ya sekondari na ya msingi Zina uhaba wa walimuHuko hawezi kuja. sana sana anaweza kurudi Chuo Kikuu kuendelea kufundisha vijana