Ualimu unalipa ukiwa mwepesi kuziona na kuziguata fursa zinazopatikana huko.Dhihaka kwa walimu.
Ni bora angesema ukufunzi wa vyuo vikuu kama UDSM unalipa kuliko siasa
Hapana.Dhihaka kwa walimu.
Ni bora angesema ukufunzi wa vyuo vikuu kama UDSM unalipa kuliko siasa
Fursa zipi ndugu yangu?Ualimu unalipa ukiwa mwepesi kuziona na kuziguata fursa zinazopatikana huko.
Pro.Kitila yupo correct 100%🔥
in fact,
hata kilimo, biashara na ufungaji vinalipa zaidi ya siasa 🐒
[/QUOTE
Mbona haachii nafasi? Nafasi yake ya kufundisha pale UDSM bado ipo.
Vv
Aache siasa aje kuwa Mwalimu huku kijijini kwetu shule ya msingi Mbwela hatuna Mwalimu wa uraia na tehama.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast, amesema wakati akiwa kama Mkufunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam maslahi katika ualimu unalipa zaidi kuliko kwenye Siasa
"Kuwa mwanasiasa ina heshima yake, unatana na wananchi. Hamna kitu raha kama kutumikia, unahudumia wananchi moja kwa moja, unatatua changamoto zao. Hiyo ni raha sana. Lakini kwa maana ya maslahi binafsi ukinieleza mimi, hapana, nitakwambia kwamba nikiwa chuoni nilikuwa na-good time."
Yeye kwa nini aliacha ualimu na kukimbilia kwenye ubunge? Tapeli mkubwa huyu.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast, amesema wakati akiwa kama Mkufunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam maslahi katika ualimu unalipa zaidi kuliko kwenye Siasa
"Kuwa mwanasiasa ina heshima yake, unatana na wananchi. Hamna kitu raha kama kutumikia, unahudumia wananchi moja kwa moja, unatatua changamoto zao. Hiyo ni raha sana. Lakini kwa maana ya maslahi binafsi ukinieleza mimi, hapana, nitakwambia kwamba nikiwa chuoni nilikuwa na-good time."
That would be true only kama wangekuwa wanatumikia kwa uaminifu. They’re too corrupt. Wanaweza kuishi hata bila huo mshahara wanaolipwa.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast, amesema wakati akiwa kama Mkufunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam maslahi katika ualimu unalipa zaidi kuliko kwenye Siasa
"Kuwa mwanasiasa ina heshima yake, unatana na wananchi. Hamna kitu raha kama kutumikia, unahudumia wananchi moja kwa moja, unatatua changamoto zao. Hiyo ni raha sana. Lakini kwa maana ya maslahi binafsi ukinieleza mimi, hapana, nitakwambia kwamba nikiwa chuoni nilikuwa na-good time."
Huko hawezi kuja. sana sana anaweza kurudi Chuo Kikuu kuendelea kufundisha vijanaAache siasa aje kuwa Mwalimu huku kijijini kwetu shule ya msingi Mbwela hatuna Mwalimu wa uraia na tehama.