Prof. Kitila: Ualimu unalipa zaidi kimaslahi kuliko Siasa, ukiwa mwalimu unaenjoy

Sasa kwanini asiondoke bungeni akawe mwalimu?

Au huo ualimu umeanza kulipa jana akiwa tayari mbunge!.
 
Isee kumbe kuna walimu ajira mpya hawana hata miaka 3 na wameshanunua viet mbilimbili jamani walimu mnasiri nyie..hamsemi na mnadiplomatic passport kumbe na mnakaa kwenye apartment nzuri tu za masaki na osterbay jamani walimu walimu nyie vibaya hivyo..
 
Ameshiba hela za walipa kodi, sasa anatapika tu mashudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…