Prof Kitila: Waliopinga DP World Wakiri Mafanikio Yake Hadharani

Prof Kitila: Waliopinga DP World Wakiri Mafanikio Yake Hadharani

Hoja ni kwamba kama kwa miaka 60 ya uhuru wetu hatuwezi hata kuongoza bandari zetu kwa ufanisi basi sisi ni madebe matupu.
 
Ni siasa
Ni siasa! Kuhamishwa Waziri alitoa tangazo!
Kuwarejesha waziri aliwahi kutoa tangazo!
Mnatuona mazombi
Kilichobadilishwa ni kufuta Vijiji,swali Je watu wameacha kuhamishwa Ngorongoro?

By the way ni siasa ndio zimezuia Kwa mda ila baada ya Uchaguzi watafuta na wote watahama
 
Kampuni inawekeza bilion 600 kwa miaka mitano kweenye bandari, mnashangilia?

Serikali tu ilifanya uwekzaji hapo wa zaidibya trillion 1. Leo bilion 600 kwa miaka mitano inakua sherehe? Mmerogwa
Baada ya serikali kufanya huo uwekezaji wa miundombinu Tija ilipatikana?

Umewahi sikia kitu inaitwa EPZ au SEZ? Unajua they it works? Kajifunze pale kwala Serikali imewekeza kitu gani kuwawezesha investors,ukijua Hilo utaacha kuuliza swali la kijinga 👇👇

View: https://x.com/Jambotv_/status/1852270583486062741?t=GEgTs89LEeveEZApxieDkQ&s=19
 
Back
Top Bottom