Prof Kitila: Waliopinga DP World Wakiri Mafanikio Yake Hadharani

Prof Kitila: Waliopinga DP World Wakiri Mafanikio Yake Hadharani

Ndio,mbona ni kawaida Kwa Serikali kuja na taarifa tofauti? Mbona tumewahi wapa wahindi Kuendesha TRC na hasara zikazidi na Serikali kufuta huo mkataba?

Mwisho kabla ya taarifa ya Wizara wewe nenda bandarini ukasema anayoongea ni kweli au hapana
Wakati serikali unawakabidhi Rites shirika la reli walikua na maneno mazuri kama hayo, mwanzoni mwa operations pia kulikua na meneno mazuri Sana. Ila mwishoni ndio kilio kikaja

Sihitaji kwenda bandarini, nipo huku kila siku
 
Kwani jf hakuna shippers si wapo? Waje wakanushe
 
CCM imegeuka kuwa Chama cha Madalali....

Kampuni inawekeza bilion 600 kwa miaka mitano kweenye bandari, mnashangilia?

Serikali tu ilifanya uwekzaji hapo wa zaidibya trillion 1. Leo bilion 600 kwa miaka mitano inakua sherehe? Mmerogwa
Ndo nashangaa yaani serikali walichofanya ni sawa na baba kumkimbia mwanamke aliyejifungua mtoto wa kike halafu badae anataka kuja kupata mahali kutoka kwa mtoto huyo
Yaani hii 600 ni ndogo Sana Sana haitoshi hata kuweka miundombinu ya IT kuzuia wizi
 
Taaluma ya 'psychology' ni utapeli mtupu.

"Waliopinga DP World" au waliopinga taratibu za kumpata huyo DPW na masharti ya mikataba?
Hawa watu wengine ni 'bogus' kweli kweli.
 
Ona Sasa kumbe unaropoka hujui kitu.Kipengele Cha kuvunja kipo bila hizo fidia kama atakiuka makubaliano
Kiweke hapa kipengele cha kuvunja mkataba tukichambue, usiandike bila ushahidi na vipengele.
 
Kiweke hapa kipengele cha kuvunja mkataba tukichambue, usiandike bila ushahidi na vipengele.
Niweke kipengele ambacho ni Siri? Waliosaini ndio walituambia kunayo hiyo section.
 
Rostam aziz ndio boss wa bandari nikwambie tu maana naona bado unanuka maziwa
Kwani akiwa bosi wa Bandari Kuna tatizo gani? Mbona wamekuwepo kina TICS na wengine kabla hapo?

Mbona Airports zote zinaendeshwa na kampuni binafsi?
 
Wakati serikali unawakabidhi Rites shirika la reli walikua na maneno mazuri kama hayo, mwanzoni mwa operations pia kulikua na meneno mazuri Sana. Ila mwishoni ndio kilio kikaja

Sihitaji kwenda bandarini, nipo huku kila siku
Lakini uliwahi kuona hao Rites wameripoti faida kama ilivyo Kwa DP World na Serikali?

Au wewe unategemea Kuna siku Bandari italeta hasara au? Hiyo ni ndoto
 
Back
Top Bottom