Prof Kitila: Waliopinga DP World Wakiri Mafanikio Yake Hadharani

Kila linalofanywa na serikali linafanikiwa, tena kwa spidi ya mwendokasi. Miradi ya muda mrefu, matokeo asubuhi tu.

Tuelekeze umwamba huu wa ajabu tunapopeleka timu kushindana kimataifa na ICSID.
 
Kwa sababu vipengele vya mikataba hawezi ona Kila mtu nadhani taratibu unazijua.

How sure you are kwamba hakipo? Taifa limewaamini waliosaini so kipo.
Kwa nini vipengele vya mikataba inayohusu public interest vifanywe siri?

Huoni kwamba hilo ni tatizo na chaka la rushwa?

Wewe umesema kipengele kipo, mimi nimekutaka ukiweke hapa tukichambue, umeshindwa.

Nakuuliza, unajuaje kipo kweli?

Hujaweza kuhakikisha kwamba kipo.
 
watu wemepinga kwasababu mkataba hauko wazi. Ni mafanikio gani hasa anayaongelea!

Tunaomba mkataba uwekwe wazi tena hatujali kama ni kwenye bunge hili la machawa. Wengine hapa wanashangilia na kupongeza vitu ambavyo hata hawajui. Kama kweli wanafanya mazuri kwanini mktaba ni wa siri?
 
Kila siku mnahamisha magoli,Bado mtaumbuka sana
 
Kwa nini vipengele vya mikataba inayohusu public interest vifanywe siri?

Huoni kwamba hilo ni tatizo na chaka la rushwa?

Wewe umesema kipengele kipo, mimi nimekutaka ukiweke hapa tukichambue, umeshindwa.

Nakuuliza, unajuaje kipo kweli?

Hujaweza kuhakikisha kwamba kipo.
Ndio utaratibu wa Nchi
 
Ndio utaratibu wa Nchi
Hata utumwa ulikuwa utaratibu wa nchi, ukaonekana haufai ukabadilishwa.

That is basically a logical fallacy, argument from authority.

Hujafanya critical examination yako mwenyewe na kusema utaratibu huu ni mzuri au mbaya, wewe kama wewe, bila kuangalia utaratibu wa nchi.

Siku hizi hata huko World Bank tunakosema ni kwa mabeberu wameanzisha initiative ya kuondoa usiri katika mikataba ili kuondoa uongo na rushwa, wewe kwa nini huoni hili kuwa ni tatizo?

Yani mpaka sasa unaongelea kipengele kwa hearsay, huwezi hata kukiweka hapa tukichambue. Hujui hata kama kipo kweli au umedanganywa tu kwamba kipo.

Huoni hilo kuwa ni tatizo?
 
Kiri umechomesha 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DB08yeQiqdj/?igsh=ajQzOWQ3N20ybTht
 
Kila siku mnahamisha magoli,Bado mtaumbuka sana

Hakuna kuhamisha goli kuanzia mwanzo tatizo ni mkataba sio ufanisi. Serikali kama tunavyojua haiwezi kufanya chochote
Kwa ufanisi hata mradi wa mwendokasi wameshidwa lakini wataalamu lalamishi ambalo ni mpaka sasa ni mkataba hauko wazi .

Mpaka sasa hakuna anayejua tunanufaika vipi? Zaidi ya makontena kutolewa kwa haraka! Maswali ni mawili na moja la nyongeza. Jibuni hoja uchawa pekee sio kujibu hoja

1. Mkataba ni wa miaka mingapi?
2. DP world wanapata nini na sisi tunapata nini? Kwenye mizigo?
3. Kuanzia DP world waingie mapato ya serikali kutoka bandarini yameongezeka kiasingani?
 
Kujibu maswali Yako ni kwamba mkataba ni WA miaka 30

Wanachopata DP World vs sisi Kiko kwenye makubaliano,hoja iwe Je baada ya DP World kushika Bandari Mapato ya Serikali kutoka bandarini yameongezeka Kwa kiasi gani? Yameongezeka Kwa kiasi kikubwa zaidi ,soma link unazopewa.

Mwisho SSH Yuko mbele ya mda,nyie wajamaa hakuna kitu mnajua au kuweza zaidi ya maneno meengi ya mdomoni yasiyo na Tija 👇👇

View: https://youtu.be/uaPaKkSxXdE?si=mV5x-dZgT4c_fA4k
 
Miaka 30, kuanzia Leo hadi muda huo,bi kiziwi atakuwa na Miaka 95.
Macho yatakuwa yametoka nje Hana msaada nasi.
 
Back
Top Bottom