Hata utumwa ulikuwa utaratibu wa nchi, ukaonekana haufai ukabadilishwa.
That is basically a logical fallacy, argument from authority.
Hujafanya critical examination yako mwenyewe na kusema utaratibu huu ni mzuri au mbaya, wewe kama wewe, bila kuangalia utaratibu wa nchi.
Siku hizi hata huko World Bank tunakosema ni kwa mabeberu wameanzisha initiative ya kuondoa usiri katika mikataba ili kuondoa uongo na rushwa, wewe kwa nini huoni hili kuwa ni tatizo?
Yani mpaka sasa unaongelea kipengele kwa hearsay, huwezi hata kukiweka hapa tukichambue. Hujui hata kama kipo kweli au umedanganywa tu kwamba kipo.
Huoni hilo kuwa ni tatizo?