Prof Kitila: Waliopinga DP World Wakiri Mafanikio Yake Hadharani

Yaani kampuni inawekeza bili 600? Hii hela serikali ingeshindwa kuweka??
 
Duh dp world sio muda mrefu upepo wa siasa ukienda vibaya usishangae wakatangaza hasara ili wakwepe mabilioni ya Kodi!!

Kampuni za mifukoni hizi madalali ndio wanufaika Niko pale nimetulia!!
DP world wameisimamia bandari kongwe kama Southampton Mkuu, kuiita ni kampuni ya mfukoni ni kujishushia heshima yako.
 
"...Meli zinazosubiri angani" 🤣🤣🤣🤣

Unapimaje mafanikio ya mkataba usio na mwisho ndani ya miezi?

Yani huu mkataba hata nchi ikifa wenyewe upo tu, unaupimaje ndani ya miezi michache?

Hivi mmesoma hata kesi ya Djibouti walivyopigwa?
Una uhakika kwamba Kuna Mkataba wa milele? Miaka 30 ilisainiwa Kwa Ajili ya nini?

Mwisho unashindwaje kupima matokeo yake baada ya uwekezaji na kabla ya uwekezaji Hali ilivyokua? Au wewe kwako mafanikio yanapimwaje?

Mwisho Djibouti hawakuwa na kampuni ya Ubia kuendesha Bandari so usifananishe ujinga wao na Tanzania.
 
Kampuni gani hiyo ya ubia?
 
Ulitegemea taarifa tofauti na hiyo kutoka kwa waziri aliyesimamia hilo suala?
Ndio,mbona ni kawaida Kwa Serikali kuja na taarifa tofauti? Mbona tumewahi wapa wahindi Kuendesha TRC na hasara zikazidi na Serikali kufuta huo mkataba?

Mwisho kabla ya taarifa ya Wizara wewe nenda bandarini ukasema anayoongea ni kweli au hapana
 
Shida zipo
Ucheleweshaji wa mizigo bado upo sana
Gharama zimependa kwa watumiaji wa bandari
Umemabiwa ucheleweshaji umepungua Kwa sana na huo ucheleweshaji sio operational bottonecks za DP World Bali ni Serikali Haina mahala pa kuweka makasha uote.

Mwisho usisahau kwamba DP World anaendesha gati 3 kati ya 12 za hapo bandarini.
 
Una uhakika kwamba Kuna Mkataba wa milele? Miaka 30 ilisainiwa Kwa Ajili ya nini?

Mwisho unashindwaje kupima matokeo yake baada ya uwekezaji na kabla ya uwekezaji Hali ilivyokua? Au wewe kwako mafanikio yanapimwaje?

Mwisho Djibouti hawakuwa na kampuni ya Ubia kuendesha Bandari so usifananishe ujinga wao na Tanzania.
Miaka 30 ilisainiwa wapi? Weka document hapa.

Unapima nini? Haya mambo ya ufanisi ambao tungeweza kuyabadili wenyewe au hata kuajiri kampuni ya kimataifa kuyabadili?

Kuwa na kampuni ya ubia ya kuendesha bandari ndiyo kunaweza kutupa nguvu ya kuvunja mkataba bila fidia kama tunaona mkataba haufai?
 
Ona Sasa kumbe unaropoka hujui kitu.Kipengele Cha kuvunja kipo bila hizo fidia kama atakiuka makubaliano
 
Duh dp world sio muda mrefu upepo wa siasa ukienda vibaya usishangae wakatangaza hasara ili wakwepe mabilioni ya Kodi!!

Kampuni za mifukoni hizi madalali ndio wanufaika Niko pale nimetulia!!
DP world kampuni ya mfukoni!?..muwe mnajielimisha, kampuni inaendesha bandari uingereza unasema ya mfukoni!!
 
Inchi imeuzwa, 🎬bandari imeuzwa,🎬 mbuga imeuzwa🎷, we claim mathai land, Akili za kipinzani ni hasara kubwa sana na ubwege tu!
 
Back
Top Bottom