Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nyie UWT hamna akiliNchi inanufaika wana siyo lazimq mimi. Ile ni macro economic variable siyo microeconomic. Ukisubili unufaike wewe kama wewe utasubili sana. Fursa ifate siyo ikufate wewe
Kwa nini vipengele vya mikataba inayohusu public interest vifanywe siri?Kwa sababu vipengele vya mikataba hawezi ona Kila mtu nadhani taratibu unazijua.
How sure you are kwamba hakipo? Taifa limewaamini waliosaini so kipo.
My Take
Kwenye suala la uwekezaji wa DP World Bandari ya Dar,Rais Samia alikuwa mbele ya muda ππ
View: https://www.instagram.com/p/DB0pZv_KOQh/?igsh=MWZmdHIzeTJocTlveA==View attachment 3140463
View: https://x.com/Jambotv_/status/1851941145787437497?t=nUzmr4fPjScQ1V504xFi2A&s=19
Kila siku mnahamisha magoli,Bado mtaumbuka sanawatu wemepinga kwasababu mkataba hauko wazi. Ni mafanikio gani hasa anayaongelea!
Tunaomba mkataba uwekwe wazi tena hatujali kama ni kwenye bunge hili la machawa. Wengine hapa wanashangilia na kupongeza vitu ambavyo hata hawajui. Kama kweli wanafanya mazuri kwanini mktaba ni wa siri?
Ndio utaratibu wa NchiKwa nini vipengele vya mikataba inayohusu public interest vifanywe siri?
Huoni kwamba hilo ni tatizo na chaka la rushwa?
Wewe umesema kipengele kipo, mimi nimekutaka ukiweke hapa tukichambue, umeshindwa.
Nakuuliza, unajuaje kipo kweli?
Hujaweza kuhakikisha kwamba kipo.
Hata utumwa ulikuwa utaratibu wa nchi, ukaonekana haufai ukabadilishwa.Ndio utaratibu wa Nchi
Kiri umechomesha ππHata utumwa ulikuwa utaratibu wa nchi, ukaonekana haufai ukabadilishwa.
That is basically a logical fallacy, argument from authority.
Hujafanya critical examination yako mwenyewe na kusema utaratibu huu ni mzuri au mbaya, wewe kama wewe, bila kuangalia utaratibu wa nchi.
Siku hizi hata huko World Bank tunakosema ni kwa mabeberu wameanzisha initiative ya kuondoa usiri katika mikataba ili kuondoa uongo na rushwa, wewe kwa nini huoni hili kuwa ni tatizo?
Yani mpaka sasa unaongelea kipengele kwa hearsay, huwezi hata kukiweka hapa tukichambue. Hujui hata kama kipo kweli au umedanganywa tu kwamba kipo.
Huoni hilo kuwa ni tatizo?
Katafute mwanzoni hao rites walichokua wanareport. Usitake kubisha tuLakini uliwahi kuona hao Rites wameripoti faida kama ilivyo Kwa DP World na Serikali?
Au wewe unategemea Kuna siku Bandari italeta hasara au? Hiyo ni ndoto
Ukisikia neno Port charges unaelewa nini? Mbona unauliza swali ambalo kama mtu hafahamu kuhusu bandariTaja hizo port charges zilizopanda Kwa sababu ya DP World
Wote tupo nyuma ya keyboard silaumu unachoandikaBoya kama wewe ukute hujawahi hata fika bandarini.
Magufuli alitumia kama trillion 1 , kuchimba kina, kuongeza na kupanua gates,Yaani kampuni inawekeza bili 600? Hii hela serikali ingeshindwa kuweka??
Hujaweka vipengele vya mkataba unavyovitaja hapa, huyu Kitila Mkumbo hajajibu swali la kuchambua mkataba hapa.
Kwa mtazamo wa malaya Kama wewe inawezekanaUgongwe leo uzae leo?
Vuta subira kwanza uone subira anavyovuta bangi.
Tunapewa kwanza chipsi yai.
Kisha mimba
Kila siku mnahamisha magoli,Bado mtaumbuka sana
Acha uzushiKatafute mwanzoni hao rites walichokua wanareport. Usitake kubisha tu
Kujibu maswali Yako ni kwamba mkataba ni WA miaka 30Hakuna kuhamisha goli kuanzia mwanzo tatizo ni mkataba sio ufanisi. Serikali kama tunavyojua haiwezi kufanya chochote
Kwa ufanisi hata mradi wa mwendokasi wameshidwa lakini wataalamu lalamishi ambalo ni mpaka sasa ni mkataba hauko wazi .
Mpaka sasa hakuna anayejua tunanufaika vipi? Zaidi ya makontena kutolewa kwa haraka! Maswali ni mawili na moja la nyongeza. Jibuni hoja uchawa pekee sio kujibu hoja
1. Mkataba ni wa miaka mingapi?
2. DP world wanapata nini na sisi tunapata nini? Kwenye mizigo?
3. Kuanzia DP world waingie mapato ya serikali kutoka bandarini yameongezeka kiasingani?
Unakula na kulalia shati la kijani ndio sababu unasifia ujinga Kila siku.Why? Unawaza ujinga
Miaka 30, kuanzia Leo hadi muda huo,bi kiziwi atakuwa na Miaka 95.Kujibu maswali Yako ni kwamba mkataba ni WA miaka 30
Wanachopata DP World vs sisi Kiko kwenye makubaliano,hoja iwe Je baada ya DP World kushika Bandari Mapato ya Serikali kutoka bandarini yameongezeka Kwa kiasi gani? Yameongezeka Kwa kiasi kikubwa zaidi ,soma link unazopewa.
Mwisho SSH Yuko mbele ya mda,nyie wajamaa hakuna kitu mnajua au kuweza zaidi ya maneno meengi ya mdomoni yasiyo na Tija ππ
View: https://youtu.be/uaPaKkSxXdE?si=mV5x-dZgT4c_fA4k