Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Prof Ibrahim Lipumba amenukuliwa na vyombo vya habari (Mwananchi) akilalamikia rasimu ya katiba kwamba inaiminya Zanzibar kwa kuwapatia nafasi 20 za wabunge wa bunge la muungano huku Tanganyika ikipewa nafasi za wabunge 50.
Msomi huyu wa uchumi naamini anajua hesabu vizuri,anajua kwamba Tanganyika ina idadi ya watu wapatao 44 milioni huku Zanzibar ikiwa na idadi ya watu 1.3 milioni.Ukitafuta wastani wa uwakilishi Tanganyika itakuwa na uwakilishi wa watu 880,000 kwa mbunge mmoja huku Zanzibar ikiwa na uwakilishi wa mbunge mmoja kwa idadi ya wananchi 65,000 lakini bado Prof wa uchumi anaona Zanzibar inaonewa !.
Ifahamike Prof Lipumba ni mTanganyika lakini linapofika suala la muungano anaiwakilisha Zanzibar kuliko Tanganyika.Maalim Seif ni mZanzibar linapokuja suala la muungano baina ya Tanaganyika na Zanzibar anatazama maslahi ya Zanzibar zaidi ndani ya muungano.
Nakala Dr Ritz Nguruvi3 TUMBIRI PakaJimmy sweke3 Matola THE BIG SHOW Mzee Mwanakijiji Pasco Mwita Maranya Crashwise Ogah Ab-Titchaz Mchambuzi ............

Last edited by a moderator: