Prof Lipumba adai rasimu ya katiba mpya inaiminya Zanzibar

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Prof Ibrahim Lipumba amenukuliwa na vyombo vya habari (Mwananchi) akilalamikia rasimu ya katiba kwamba inaiminya Zanzibar kwa kuwapatia nafasi 20 za wabunge wa bunge la muungano huku Tanganyika ikipewa nafasi za wabunge 50.

Msomi huyu wa uchumi naamini anajua hesabu vizuri,anajua kwamba Tanganyika ina idadi ya watu wapatao 44 milioni huku Zanzibar ikiwa na idadi ya watu 1.3 milioni.Ukitafuta wastani wa uwakilishi Tanganyika itakuwa na uwakilishi wa watu 880,000 kwa mbunge mmoja huku Zanzibar ikiwa na uwakilishi wa mbunge mmoja kwa idadi ya wananchi 65,000 lakini bado Prof wa uchumi anaona Zanzibar inaonewa !.

Ifahamike Prof Lipumba ni mTanganyika lakini linapofika suala la muungano anaiwakilisha Zanzibar kuliko Tanganyika.Maalim Seif ni mZanzibar linapokuja suala la muungano baina ya Tanaganyika na Zanzibar anatazama maslahi ya Zanzibar zaidi ndani ya muungano.

Nakala Dr Ritz Nguruvi3 TUMBIRI PakaJimmy sweke3 Matola THE BIG SHOW Mzee Mwanakijiji Pasco Mwita Maranya Crashwise Ogah Ab-Titchaz Mchambuzi ............
 
Last edited by a moderator:
Sikuhizi ameshakuwa galasa huyu mtu, bora angeongea Sheikh Farid. Kajimaliza kitoto sana kisiasa kwa kuendesha miadhara ya kisiasa misikitini.
 
Prof Ibrahim Lipumba amenukuliwa na vyombo vya habari (Mwananchi) akilalamikia rasimu ya katiba kwamba inaiminya Zanzibar kwa kuwapatia nafasi 20 za wabunge wa bunge la muungano huku Tanganyika ikipewa nafasi za wabunge 50.

Msomi huyu wa uchumi naamini anajua hesabu vizuri,anajua kwamba Tanganyika ina idadi ya watu wapatao 44 milioni huku Zanzibar ikiwa na idadi ya watu 1.3 milioni.Ukitafuta wastani wa uwakilishi Tanganyika itakuwa na uwakilishi wa watu 880,000 kwa mbunge mmoja huku Zanzibar ikiwa na uwakilishi wa mbunge mmoja kwa idadi ya wananchi 65,000 lakini bado Prof wa uchumi anaona Zanzibar inaonewa !.

Ifahamike Prof Lipumba ni mTanganyika lakini linapofika suala la muungano anaiwakilisha Zanzibar kuliko Tanganyika.Maalim Seif ni mZanzibar linapokuja suala la muungano baina ya Tanaganyika na Zanzibar anatazama maslahi ya Zanzibar zaidi ndani ya muungano.

Nakala Dr Ritz Nguruvi3 TUMBIRI PakaJimmy sweke3 Matola THE BIG SHOW Mzee Mwanakijiji Pasco Mwita Maranya Crashwise Ogah Ab-Titchaz Mchambuzi ............
Alitoa sababu gani za kimantiki kwa madai hayo ya kuchekesha?
Lakini labda kwanza tujue alikuwa wapi akiongea maneno hayo, maana kama alikuwa msikitini kama ambavyo amewahi kunukuliwa kufanya, basi ni wa kusamehewa bure kabisa.

Lipumba mara zote amekuwa anaongea mambo ya ajabu sana anapopata nafasi ya kuongea na Public. 20% kwa Zanzibar ni kubwa mno na udhulumati wa uwakilishi kwa Watanganyika.

Mantiki hapa ilitakiwa kuwa nafasi hizo zipatikane kwa Mwakilishi Versus namba ya raia wanaowakilishwa, na si kuchukulia Zanzibar kama nchi fulani ndogo kidogo!

Kwa waliosahau hebu tujikumbushe mtu huyu alivyo:
 
Last edited by a moderator:
Au kama vipi tufanye bunge lenye wabunge milioni tatu....kila upande utoe idadi sawa (i.e. milion moja na nusu)?:whoo:
 
Mantiki ya Lipumba ni rahisi kuelewa.
Lipumba ni mdini na kathibitisha hilo.
kwa kuongeza idadi ya wawakilishi toka zenji ambao wote ni waislamu ukichanganya na possible waislam toka Tanganyika,
hilo bunge linakuwa na uwezekano wa kuwa majority waislam, na hilo ndo lengo lake lilipojikita.
Maamuzi ya kidini then yatakuwa rahisi kupitisha.
Think aloud!
 
Na alishawahi kutamka kwamba kuna Islamic benki za kukopa bila riba huko Uarabuni ndipo Serikali iende kukopa huku akisahau Waislamu wa hapa Tanzania wengi wao ni mafukara wa kutupwa, je hizo Islamic benki ziko wapi? jinga sana hili Profesa Pumba.
 
Duh Sigma nilikuwa sijamwelewa Prof wa uchumi kumbe.

Mantiki ya Lipumba ni rahisi kuelewa.
Lipumba ni mdini na kathibitisha hilo.
kwa kuongeza idadi ya wawakilishi toka zenji ambao wote ni waislamu ukichanganya na possible waislam toka Tanganyika,
hilo bunge linakuwa na uwezekano wa kuwa majority waislam, na hilo ndo lengo lake lilipojikita.
Maamuzi ya kidini then yatakuwa rahisi kupitisha.
Think aloud!
 
Last edited by a moderator:
Prof Ibrahim Lipumba amenukuliwa na vyombo vya habari (Mwananchi) akilalamikia rasimu ya katiba kwamba inaiminya Zanzibar kwa kuwapatia nafasi 20 za wabunge wa bunge la muungano huku Tanganyika ikipewa nafasi za wabunge 50.

Msomi huyu wa uchumi naamini anajua hesabu vizuri,anajua kwamba Tanganyika ina idadi ya watu wapatao 44 milioni huku Zanzibar ikiwa na idadi ya watu 1.3 milioni.Ukitafuta wastani wa uwakilishi Tanganyika itakuwa na uwakilishi wa watu 880,000 kwa mbunge mmoja huku Zanzibar ikiwa na uwakilishi wa mbunge mmoja kwa idadi ya wananchi 65,000 lakini bado Prof wa uchumi anaona Zanzibar inaonewa !.

Ifahamike Prof Lipumba ni mTanganyika lakini linapofika suala la muungano anaiwakilisha Zanzibar kuliko Tanganyika.Maalim Seif ni mZanzibar linapokuja suala la muungano baina ya Tanaganyika na Zanzibar anatazama maslahi ya Zanzibar zaidi ndani ya muungano.

Nakala Dr Ritz Nguruvi3 TUMBIRI PakaJimmy sweke3 Matola THE BIG SHOW Mzee Mwanakijiji Pasco Mwita Maranya Crashwise Ogah Ab-Titchaz Mchambuzi ............
....tanganyika lazima iwe na tahadhari.. watanganyika wanaotumiwa na "wageni" kufaidi raslimali za tanganyika ni wengi na wa kada mbalimbali.."wasomi na viongozi wa kidini" ni miongoni mwa wanaotumiwa....!..nina shaka kama tafsiri ya ufisadi na mafisadi inaeleweka vizuri miongoni mwetu..!...."yeye huyo" anajua vizuri zaidi wanasiasa "wabunge, na wajumbe wa blw" wa chama chake wanachokitaka, na hususan katibu wake kuhusu muungano...kinyume cha ukweli(regardless) ni dhambi kwa mwenye kuamini...unazungumzia maslahi na haki za kimuungano kwa watu wa ambao hawauamini, hawauthamini na hawautaki muungano...! "na kwa nini msomi wa kiwango cha hivyo asiwe wa kusimama na kweli iliyopo"...ah...ni siasa by the way..!
 
Toka enzi ya UTUMWA waarabu walishaamini kuwa ukiwa na mzigo mzito unamtwisha MNYAMWEZI na hivyo ndivyo afanyavyo Seif Shariff Hamad kwa kuendeleza imani hiyo kwa huyu mnyamwezi aitwae Lipumba!!!Ni asili yake kutumiwa kwani ilianza toka enzi za mababu zake .
 
Prof Ibrahim Lipumba amenukuliwa na vyombo vya habari (Mwananchi) akilalamikia rasimu ya katiba kwamba inaiminya Zanzibar kwa kuwapatia nafasi 20 za wabunge wa bunge la muungano huku Tanganyika ikipewa nafasi za wabunge 50.

Msomi huyu wa uchumi naamini anajua hesabu vizuri,anajua kwamba Tanganyika ina idadi ya watu wapatao 44 milioni huku Zanzibar ikiwa na idadi ya watu 1.3 milioni.Ukitafuta wastani wa uwakilishi Tanganyika itakuwa na uwakilishi wa watu 880,000 kwa mbunge mmoja huku Zanzibar ikiwa na uwakilishi wa mbunge mmoja kwa idadi ya wananchi 65,000 lakini bado Prof wa uchumi anaona Zanzibar inaonewa !.

Ifahamike Prof Lipumba ni mTanganyika lakini linapofika suala la muungano anaiwakilisha Zanzibar kuliko Tanganyika.Maalim Seif ni mZanzibar linapokuja suala la muungano baina ya Tanaganyika na Zanzibar anatazama maslahi ya Zanzibar zaidi ndani ya muungano.

Nakala Dr Ritz Nguruvi3 TUMBIRI PakaJimmy sweke3 Matola THE BIG SHOW Mzee Mwanakijiji Pasco Mwita Maranya Crashwise Ogah Ab-Titchaz Mchambuzi ............
Mkuu Ngongo kuna vitu kamwe huwezi kuvificha milele navyo ni pamoja na unafiki, hapo ukimkuta msikitini anakwambia anapigania maslahi ya waislamu wenzake wa Zanzibar....
 
Last edited by a moderator:
Au kama vipi tufanye bunge lenye wabunge milioni tatu....kila upande utoe idadi sawa (i.e. milion moja na nusu)?:whoo:
sasa milioni na nusu wakati wote kwa pamoja wako 1.3 tena hapo unachanganya na watanganyika waliojichimbia huko....kwa maana hiyo kila mtu atakuwa mbunge
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Na alishawahi kutamka kwamba kuna Islamic benki za kukopa bila riba huko Uarabuni ndipo Serikali iende kukopa huku akisahau Waislamu wa hapa Tanzania wengi wao ni mafukara wa kutupwa, je hizo Islamic benki ziko wapi? jinga sana hili Profesa Pumba.
Kumbe elimu haisaidii kitu kama wewe ni mpumbavu ni mpumbavu tu kama hili jamaa ni jinga full......#$$%#$% eti prof yaani kimtazamo anashindwa hata na lusinde au maji marefu
 
sasa milioni na nusu wakati wote kwa pamoja wako 1.3 tena hapo unachanganya na watanganyika waliojichimbia huko....kwa maana hiyo kila mtu atakuwa mbunge
Wao si wanadai idadi ya watu sio hoja! Watafika mahali watasema hata mapato tugawane sawa kwa sawa bila kuangalia idadi ya watu. I really hate this union!
 
Mkuu SMU vipi suala la kugawana gharama za muungano kwa usawa wamshawahi kulizungumzia hilo !.

Sipati picha huyu Prof Lipumba...v angeshinda 2000 tungekuwa wapi?.
Huyu jamaa ameshachuja sana, amebaki kama skeleton tuuuu
 
Mbona huu una-sound kama mjadala wa ' sunday school' na sio wa great thinkers?
 
Lipumba anatoa pumba kama jina lake hawezi kufanyikiwa kisiasa mie namushauli aombe kazi ya kufundisha vyuo vikuu siasa hawezi myu ambaye akubaliki kwao atashindaje

from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu SMU vipi suala la kugawana gharama za muungano kwa usawa wamshawahi kulizungumzia hilo !.
.....and when it comes to that, ndio utawasikia wanataka "proportionate"!
 
Back
Top Bottom