ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Kufanana na Lipumba hata kwa jina ni mkosiLipumba nupeleke unakonyolea, maana kinyozi wako anatumia pima maji, hapindishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufanana na Lipumba hata kwa jina ni mkosiLipumba nupeleke unakonyolea, maana kinyozi wako anatumia pima maji, hapindishi
Kwa nini huyo mwanasheria uchwara asiishitaki tume iliyomwagiza Lipumba?
Unasena lisu huyohuyo anaetumia jelaha lake na kulifanya kuwa kero ya watanzania? Hakuna mwaka chadema wametupa kituko cha mgombea urais kama mwakaaa huuuuu.
Ni mchanganyiko wa mke wake na wa umoja wa mataifa
Unafiki gani? Lini na wapi?Lakini unafiki wa Lisu haujaliwa kichwa
Huna adabuuu weweee chato ni Mali ya watanzania woteeee, umeambiwaa uwanjaa huo ni wa magufuliii? Kama unataka na wewe ukaishi na huo uwanjaa kanunue uwanjaa ukaushi hapo chato huzuiliwiiiii.Na huyo anayedhania kero ya watanzania ni chato kukosa uwanja wa Ndege na mbuga za wanyama mbona anahangaika sasa
Haaaaa haaaaa. Halafuuu eti na wewe ni mwanasiasaaa, kumbe nijanjanjaa.Mkuu nimekujibu nikidhani naongea na mtu mwenye akili timamu, sikujua kama ni kiazi wa kiwango hiki. Samahani mkuu, hilo sio kosa lako, bali ni langu la kujichanganya na vilaza.
Kumne mko "strategic" kuziba umaarufu wa Lipumba !! Yaani hamtaki watu wajue anagombea ili iweje?Lissu amefanya makosa sana, kitendo tu cha kumtaja Lipumba kimefanya watu wajue kuwa hata Lipumba anagombea urais.
Haaaaa haaaaa. Halafuuu eti na wewe ni mwanasiasaaa, kumbe nijanjanjaa.
Mwakaa huuu mpaka mtueleze huyoo jamaa yenuu mlimtoa wapiiii, maaaanaa hafai kabisa hata kuwa barozi wa nyumbakumiii.
Kura atakazopata kibaraka wenu Membe wa ACT hazitafua dafu kwa zile atakazopata Lipumba. Subiri matokeo.Huyu mwamba this time hadi Spunda mzee wa wali atampita😂😂
Yuko ananadi kushambuliwa kwake ili kugeuzwe na kuwa kero ya watanzania.tindo said:
Mkuu nimekujibu nikidhani naongea na mtu mwenye akili timamu, sikujua kama ni kiazi wa kiwango hiki. Samahani mkuu, hilo sio kosa lako, bali ni langu la kujichanganya na vilaza.
Huyo aliyeko hapo juu anakupotezea wakati. Kusema Lissu hafai hata ubalozi wa nyumba kumi mbona heshima iliyotukuka . Yeye Lissu hafai hata kuwa mlinzi wa choo cha city.
Haaaaa haaaaa. Halafuuu eti na wewe ni mwanasiasaaa, kumbe nijanjanjaa.
Mwakaa huuu mpaka mtueleze huyoo jamaa yenuu mlimtoa wapiiii, maaaanaa hafai kabisa hata kuwa barozi wa nyumbakumiii.
CHADEMA wanajua huyo ni mpinzani wao!LIPUMBA ni mpinzani?
Hunalolo teeeeDuuuu, kweli kazi ipo.
Mpaka mnyooshe mikono juu kama mateka.Duuuu, kweli kazi ipo.
Anazo ID kibao ila mods wanamlea sana akipigwa ban ID moja anaibuka na nyingine.Naona tayari mods wamekula kichwa...wamekuvumilia sana hata hivyo
limeyumba kinoma dahhLissu dishi limeyumba, sababu zake za pingamizi kwa JPM ni za kipimbi sana.
Magufuli mnamyaja Kama Dr inakuwaje dokta ambaye tunaamini Kama ni msomi anashindwa hata kujaza fomu zilizoandikwa kizungu haha dokta uchwara.Lissu dishi limeyumba, sababu zake za pingamizi kwa JPM ni za kipimbi sana.