Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba amshukia vikali Tundu Lissu, ahoji kuweka pingamizi kwa wagombea wawili ilhali wote wamefata maelekezo ya Tume

Kwa nini huyo mwanasheria uchwara asiishitaki tume iliyomwagiza Lipumba?

Kwani utaratibu unataka kushitaki au kuweka pingamizi sasa angeiwekea pingamizi tume nayo ilikuwa inahombea hebu kuwa na akili na wewe. Hata aibu huna kusema mgombea urais aliyepitishwa na tume kuwa ana Sifa za kuwa Rais wa JMT ni mwansheria uchwara ni kwasababu gani hajasomea sheria au unadhani ni kama yule anayejidanganya kuwa na Phd ya maneno matupu.
 
Unasena lisu huyohuyo anaetumia jelaha lake na kulifanya kuwa kero ya watanzania? Hakuna mwaka chadema wametupa kituko cha mgombea urais kama mwakaaa huuuuu.

Na huyo anayedhania kero ya watanzania ni chato kukosa uwanja wa Ndege na mbuga za wanyama mbona anahangaika sasa
 
Huna adabuuu weweee chato ni Mali ya watanzania woteeee, umeambiwaa uwanjaa huo ni wa magufuliii? Kama unataka na wewe ukaishi na huo uwanjaa kanunue uwanjaa ukaushi hapo chato huzuiliwiiiii.
Na kama hizi ndo Sera zenuuuu mwaka huuu mtapotea rasmi kwenye siasaa
 
Mkuu nimekujibu nikidhani naongea na mtu mwenye akili timamu, sikujua kama ni kiazi wa kiwango hiki. Samahani mkuu, hilo sio kosa lako, bali ni langu la kujichanganya na vilaza.
Haaaaa haaaaa. Halafuuu eti na wewe ni mwanasiasaaa, kumbe nijanjanjaa.
Mwakaa huuu mpaka mtueleze huyoo jamaa yenuu mlimtoa wapiiii, maaaanaa hafai kabisa hata kuwa barozi wa nyumbakumiii.
 
Lissu amefanya makosa sana, kitendo tu cha kumtaja Lipumba kimefanya watu wajue kuwa hata Lipumba anagombea urais.
Kumne mko "strategic" kuziba umaarufu wa Lipumba !! Yaani hamtaki watu wajue anagombea ili iweje?
 
Haaaaa haaaaa. Halafuuu eti na wewe ni mwanasiasaaa, kumbe nijanjanjaa.
Mwakaa huuu mpaka mtueleze huyoo jamaa yenuu mlimtoa wapiiii, maaaanaa hafai kabisa hata kuwa barozi wa nyumbakumiii.

tindo said:
Mkuu nimekujibu nikidhani naongea na mtu mwenye akili timamu, sikujua kama ni kiazi wa kiwango hiki. Samahani mkuu, hilo sio kosa lako, bali ni langu la kujichanganya na vilaza.

Huyo aliyeko hapo juu anakupotezea wakati. Kusema Lissu hafai hata ubalozi wa nyumba kumi mbona heshima iliyotukuka . Yeye Lissu hafai hata kuwa mlinzi wa choo cha city.
 
Yuko ananadi kushambuliwa kwake ili kugeuzwe na kuwa kero ya watanzania.
Shidaaa kwelikweliiii
 
Haaaaa haaaaa. Halafuuu eti na wewe ni mwanasiasaaa, kumbe nijanjanjaa.
Mwakaa huuu mpaka mtueleze huyoo jamaa yenuu mlimtoa wapiiii, maaaanaa hafai kabisa hata kuwa barozi wa nyumbakumiii.

Duuuu, kweli kazi ipo.
 
Kwanza ieleweke ni haki ya mgombea yeyote kumuwekea pingamizi mgombea mwingine! Pili kama uliyewekewa pingamizi una hoja za kupangua pingamizi mahala sahihi pa kuwasilisha hoja zako sio kwenye vyombo vya habari bali ni kwenye tume ya uchaguzi! Ni aibu pfofesor mzima unashindwa kuyajuwa haya, kama sio kupandikizwa ni nini?? Acha kubweka weka na wewe pingamizi!
 
Back
Top Bottom