Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

Status
Not open for further replies.
Niliwahi kuuliza humu CUF Lipumba yuko peke yakeau ana wafuasi?

naona kumbe kina Mtatiro hawajui wanachofanya

Halafu Mtatiro nae kahamia Zanzibar?
Nalikumbuka swali lako... na wakati watu tunaelezea uhalisia, wengine walitukejeli! Leo hii inashangaza kuona mtu asiye na wafuasi lakini bado ameweza kuingia HQ! Na tukiweka unafiki pembeni, hata hapa JF tunaowaona wapo sana upande wa akina Mtatiro ni watu wa CHADEMA ndio wengi kuliko CUF!
 
Wabunge Wa cuf msimkubali huyo mnafiki hakupigana Na nyinyi vitani alikuwa Na adui yenu siku zote Sheria ya Vita ni kumpigania uliyepigana naye vitani huyo yuko kwa ajili ya lumumba 2020 atawaacha tena simamieni haki yenu msije juta 2020 hajui machungu yenu wakati Wa Vita yeye hata kushuhudia akushuhudia alikuwa Rwanda wabunge wengi mnajua ni nguvu ya ukawa ata huyo sakaya akuwa Na ubavu Wa kumwangusha kapuya au maftaa akuwa Na ubavu Wa kumwangusha mujri bila ukawa nyinyi kama wanajeshi mnatakiwa kumpigania uliyepigana naye vitani nawashauri tu Maalim seif ndio aliwaongoza kwenye Vita mkashinda Na mnajua humuhimu wake cuf huyo jamaa anawauza 2020 mtajuta Na siyo mbali
Dogo ukawa ilishakufa tangu mmemkaribisha fisadi mkuu!
 
Nalikumbuka swali lako... na wakati watu tunaelezea uhalisia, wengine walitukejeli! Leo hii inashangaza kuona mtu asiye na wafuasi lakini bado ameweza kuingia HQ! Na tukiweka unafiki pembeni, hata hapa JF tunaowaona wapo sana upande wa akina Mtatiro ni watu wa CHADEMA ndio wengi kuliko CUF!

Watu wengi wanapenda kufanya mambo kihisia tu
hawataki kutazama reality....Lipumba hata kama kanunuliwa na CCM..
akiweza kuwa na wafuasi tu basi ni tatizo
siasa ni watu na sio sheria...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom