Ina maana lile group alilokuja nalo lipumba pale makao makuu ndio wafuasi wa CUF nchi nzima? Mbona hata Diamond sio mwanasiasa lakini anao wafuasi wengi sana...Hata leo DR.Slaa akirudi Chadema atapata wafuasi..Nalikumbuka swali lako... na wakati watu tunaelezea uhalisia, wengine walitukejeli! Leo hii inashangaza kuona mtu asiye na wafuasi lakini bado ameweza kuingia HQ! Na tukiweka unafiki pembeni, hata hapa JF tunaowaona wapo sana upande wa akina Mtatiro ni watu wa CHADEMA ndio wengi kuliko CUF!