Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

Status
Not open for further replies.
Hatua hii kaichukua kwa madai ya kwamba anakisuka chama upya. Professor Lipumba kachukua hatua hii mara baada ya jana kurudi katika kiti chake ikiwa ni maamuzi ya msajili wa vyama vya siasa, ambaye kisheria ndio mlezi wa vyama vyote vya siasa!...

Katika kauli yake, kasema hii ni hatua ya kawaida katika kusuka chama ili kiendane na wakati na kujipanga kwa uchaguzi wa meya Kinondoni na Ubungo, na uchaguzi mkuu wa 2020...

Pia, Prof. Lipumba kawaonya wabunge wa CUF kuacha kurukia mambo na kasema watii katiba, sheria, na kanuni za chama hicho vinginevyo watapoteza nafasi zao

Hayo yakiwa yanaendelea kwa upande mwingine viongozi wa mpito wakiongozwa na Mtatiro na Maalim Seif wameitisha baraza kuu itakayofanyika siku ya Jumanne Zanzibar ili kutoa kauli ya pamoja ya kupinga maamuzi ya Jaji Mtungi


MOB JUSTICE
 
Huyo lipumba ni PUMBA kama jina lake. HATAFANIKIWA maana hana uwezo huo na pia mazingira ya sasa sio yale ya lile PIMBI la kiraracha.
 
dah kwakweli sasa naanza kuitamani ile kauli ya mtukufu kwamba siasa hadi 2020 huyu pfofesa nisimsikie kwa huu wakati
 
Yaani mnaleta habari ya uongo halafu mnakesha mkiijadili kwa kuiongezea uongo mwingine? Bavichaa kazi mnayo muhula huu wa [HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG].
 
Hivi huyu prof anataka kuiangiza Cuf.??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom