Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya Chama hicho

Source ITV Dakika 45!
Kimsingi Bashiru Ally anachowakera CCM ni itikadi yake, Bashiru ana Unyerere mwingi.

Kwangu mimi sijaona tofauti katika watu hawa

1. Mwalimu Nyerere
2. Sokine
3. Magufuli
4. Bashiru Ally
5. Polepole

Hawa wanaitikadi za kijamaa kwa % kubwa hivo wanafanana sana katika misimamo yao.
 
Kwaiyo ni dhambi kuwa Mjamaa na ni utakatifu kuwa Bepari!!!
 
Kwaiyo ni dhambi kuwa Mjamaa na ni utakatifu kuwa Bepari!!!
Of Course kwa tulipofikia sasa hawa viongozi wastaafu wakishakuona unacheza ngoma za kijamaa hawatakubali ukae pale juu maana wanajua shughuli waliyoipata kipindi cha jiwe
 
Back
Top Bottom