Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

Tatizo la mfumuko wa bei nchini ni sawa na mgonjwa mwenye Malaria kali lakini kipimo cha Malaria kinasema mgonjwa ni mzima wa afya tele.
 
Pweinti

Tundu Lisu alisema bei ya nyama na Mandondo ngoma droo!
 
Kumbe professor sio chochote mbele njaaa......mbona mnatusema sana sisi wadada tunaojiuza? Njaaa
 
Jana namsikia msemaji wa serikali anajibu eti mfumuko wa bei umechangiwa na covid19 na vita vya ukraine. Kwamba uzalishaji umepungua.

Bado naendelea kutafakari majibu yake
 
Jana namsikia msemaji wa serikali anajibu eti mfumuko wa bei umechangiwa na covid19 na vita vya ukraine. Kwamba uzalishaji umepungua.

Bado naendelea kutafakari majibu yake
Muda si mrefu utasikia tetemeko la Uturuki nalo ni sababu!
 
Nani anayemuamini yeye?!
Sio kila mtu anaaminiwa na kila mtu na hakuna mtu asiyeaminiwa na mtu yeyote.

Kama hutaki kuamini alichoeleza Lipumba kama kiongozi wa chama kuhusu chama chake basi amua kuamini unavyotaka wewe vyovyote vile ni haki yako.
 
Chako kinanuka hata hakiwezi kuwasha kwani kilishachomwa na kuchomeka hadi una hisia. Tatizo ni kwamba kwa vile wewe ni mseeenge unadhani kila mtu akiwamo baba yako kama mimi ni sawa na wewe. May you perishiiii
Unaliwa sana dogo
 
Ipo siku Mungu atamuinua tena zaidi Bashiru katika nafasi ya Urais,hakika tutakuwa tumekombolewa kwelikweli!.
 
Hata mimi naamini hivyo!
Bashiru anachukiwa na ccm kwasababu alirudisha mali za chama walizoiba.
Vita hiyo ya mafisadi haiwezi kutufanya tuuone uadikifu wa Bashiru..

Bashiru ana mapungufu ya kawaida tu.
PIli alifanya kazi wakati mgumu zaidi alitekeleza alichotumwa lakini ni mtu muungwana tu.

Tujifunze kuusema ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom