Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Tatizo la mfumuko wa bei nchini ni sawa na mgonjwa mwenye Malaria kali lakini kipimo cha Malaria kinasema mgonjwa ni mzima wa afya tele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda si mrefu utasikia tetemeko la Uturuki nalo ni sababu!Jana namsikia msemaji wa serikali anajibu eti mfumuko wa bei umechangiwa na covid19 na vita vya ukraine. Kwamba uzalishaji umepungua.
Bado naendelea kutafakari majibu yake
Sio kila mtu anaaminiwa na kila mtu na hakuna mtu asiyeaminiwa na mtu yeyote.Nani anayemuamini yeye?!
Unaliwa sana dogoChako kinanuka hata hakiwezi kuwasha kwani kilishachomwa na kuchomeka hadi una hisia. Tatizo ni kwamba kwa vile wewe ni mseeenge unadhani kila mtu akiwamo baba yako kama mimi ni sawa na wewe. May you perishiiii
Pasi na shakaBashiru ni mtu safi kabisa
Hata mimi naamini hivyo!Bashiru ni mtu safi kabisa
Bashiru anachukiwa na ccm kwasababu alirudisha mali za chama walizoiba.Hata mimi naamini hivyo!