johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Aisee naomba Lipumba aachane na siasa atunze heshima ndogo aliyobaki nayo katika Jamii.Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya Chama hicho
Source ITV Dakika 45!
Kuna yale MAMBUMBUMBU ya CCM yalikuwa yanadai eti ana KADI ya CUFMwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya Chama hicho
Source ITV Dakika 45!
Aendelee na zile Consultancies zake za WB at least amalize safari kwa amaniAisee naomba Lipumba aachane na siasa atunze heshima ndogo aliyobaki nayo katika Jamii.
Ule mkutano wake pale Kanisani Magomeni nini kimejiri?Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya Chama hicho
Source ITV Dakika 45!
Tutakuletea Hotuba yake kwa maandishiUle mkutano wako pale Kanisani Magomeni nini kimejiri?
Usikute mambo ya kadi ya Bashiru ndiyo yalikuwa maongezi yake kwa wananchiTutakuletea Hotuba yake kwa maandishi
Haikutegemewa aseme kinyume na alichosema! Sio Bashiru tu, yeye mwenyewe (Lipumba) ni pandikizi la CCM upinzani.Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya Chama hicho
Source ITV Dakika 45!
Kwa kichwa chake kilichonganyikiwa, yaana amegeuka punguani zuzu asiyejielewa bora arudi kijijini kwao akawe mwenyekiti wa kijiji. Alikuwa ni chawa mtiifu wa Jiwe na pia hajielewi kama abakie Sukuma gang au ajipendekeze Msoga gang.Aendelee na zile Consultancies zake za WB at least analize safari kwa amani
Kimsingi Bashiru Ally anachowakera CCM ni itikadi yake, Bashiru ana Unyerere mwingi.Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya Chama hicho
Source ITV Dakika 45!
Kwaiyo ni dhambi kuwa Mjamaa na ni utakatifu kuwa Bepari!!!Kimsingi Bashiru Ally anachowakera CCM ni itikadi yake, Bashiru ana Unyerere mwingi.
Kwangu mimi sijaona tofauti katika watu hawa
1. Mwalimu Nyerere
2. Sokine
3. Magufuli
4. Bashiru Ally
5. Polepole
Hawa wanaitikadi za kijamaa kwa % kubwa hivo wanafanana sana katika misimamo yao.
Mbowe: Wanachama wenzangu wa CCMHaikutegemewa aseme kinyume na alichosema! Sio Bashiru tu, yeye mwenyewe (Lipumba) ni pandikizi la CCM upinzani.
Of Course kwa tulipofikia sasa hawa viongozi wastaafu wakishakuona unacheza ngoma za kijamaa hawatakubali ukae pale juu maana wanajua shughuli waliyoipata kipindi cha jiweKwaiyo ni dhambi kuwa Mjamaa na ni utakatifu kuwa Bepari!!!