Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

Bashiru Ali huyu aliyepiga mabilioni kwenye project haramu ya kununua wapinzani uchwara akishirikiana na Humphrey Polepole au mwingine?
 
Kama ni ujamaa, basi itakuwa ujamaa wa kisoshalisti, siyo ujamaa wa kikomunisti. Nyerere hakuwa mkomunisti, ndiyo maana alicha nafasi kwa sekta binafsi kufanya kazi kwa kiasi fulani ktk jamii.
 
imekaa vizuri
 
ongeza Kabudi
 
Sasa utaletaje misimamo ya kijamaa ktk nchi ya kibepari? Na kuwafananisha hao watu na Nyerere & Sokoine ni kejeli kubwa kwa viongozi hao. Ebu katafakari maisha aloishi Mwl Nyerere alafu linganisha na hao mabwenyenye ulowataja.
 
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho.

Chanzo: ITV Dakika 45
Huyu chawa wala hajawahi kuwa mwanachama wa CCM wala msomi kama anavyoitwa bali msaka tonge na nyemelezi wa kawaida aliyejaa unafiki na njaa tu.
 
Labda kama humjui Bashiru Ally! Au siku Mfuate Prof Shivji atakuambia Bashiru Ally ni mtu wa aina gan
Sawa wewe mkewe unamjua sana mumeo ila amekuficha kuwa ule mradi wa kununua wapinzani uchwara umemtajirisha sana.
 
Tayari kinyeo kinakuwasha
Chako kinanuka hata hakiwezi kuwasha kwani kilishachomwa na kuchomeka hadi una hisia. Tatizo ni kwamba kwa vile wewe ni mseeenge unadhani kila mtu akiwamo baba yako kama mimi ni sawa na wewe. May you perishiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…