Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Status
Not open for further replies.
Tulia tulia tulia
 
Kuna kikao kinaendelea sasa hivi makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo cha kumpokea Prof. Lipumba.

Karibu sana Prof. Lipumba kwenye chama.
Bora shetani ampeleke huko huyo lana sumaka
 
Kuna kikao kinaendelea sasa hivi makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo cha kumpokea Prof. Lipumba.

Karibu sana Prof. Lipumba kwenye chama.
Ahahahahaha! Molemo naona umeibuka kuwa msemaji wa ACT-Wazalendo.
 
Lipumba na zzk ...bhara bhara moya wachu...ukifika tabora tayari unakuwa umeshakaribia khigoma...kwa akina mwidiye ...ulakomeye....Act ni chama cha waha ...hahahaaa....kwa ubishi wale watu wamebarikiwa sana aisee ..kama wakinga vile
 
Sasa wewe mtusi mambo ya Tanzania yanakuhusu mini tuacheni na nchi yetu tujadiri yetu. Mbona Mwa nya Rwanda hamuishi kutufata fata
 
Aende akaendrlee na utapeli wa kisiasa hiko. Lipumba now is not after the democracy development or anything in the plitics. Is oportunistic man. ACT be careful as you receive him.
 
KILA JAMBO HUWA LINA WAKATI WAKE.USICHUKULIE RAHISI MAANA DUNIA HAIRUDI NYUMA.
 
Sasa huko atakuwa mbwa asie na meno chini ya kiongozi mkuu Khomeini
 
P
una umri gani mkuu.....?
 
Hakika hata kama watu wapige vijembe kiasi gani ila ukweli ni kwamba Lipumba ataongeza nguvu ACT kwa kiasi kikubwa sana.
Lazima unafikiria kwa kutumia masaburi wewe. Takwimu zinaonesha kwamba kila akigombea uraisi kura zilikuwa zinashuka badala ya kuongezeka.maana yake Ni kwamba wafuasi wake walikuwa wanapungua.Na kwa jinsi alivyo likoroga ndio kabisa kabaki na wajinga wachache sana.simply hana mtaji.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…