Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Status
Not open for further replies.
kama ni kweli huko anaenda tu kutafuta jukwaa la kusemea. hana mvuto tena, na kama ACT-wazalendo watamsimamisha kugombea urais 2020 wasitarajie ushindi katika urais wala wabunge.wajiulize kwa nini miaka yote ambayo amegombea urais wananchi hawakuhamasika kumpa kura nyingi wala kupata wabunge wengi tanzania bara.
Hata hiyo nuru ya chama ataukosa ubunge pia
 
Mkuu Luhanyula najua kabisa hilo jina ni la kwetu kule kwenye migebuka ndio maana umechangia kila post kwenye uzi huu
Mkuu Mmawia mie ngoja niendelee kukusoma maana kukoment huwa si mpenzi sana.Halafu mie natokea Marangu.
 
Kumbu kumbu zinaonesha uenyekiti wa milele ni wa Mbowe mkwepa kodi.

BTW mbona hata nyie mlimchukua Lowassa baada ya kumpa matusi yote mabaya.
Jiandae kufukuzwa baada ya ujio wa lipumba
 
Hongera Pro. Lipumba, kwa kujitambua " Birds of same Feathers", Hivyo ACT lazima wakupe Uenyekiti " uliouzowea" la sivyo haitanoga. Au bora nenda ADC kwa Hamad Rashid lakini huko usiliie cheo,hupati na hawakupi.
Nimeipenda sana hiyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom