Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena Mkuuangeenda ccm panamfaa
lakini naona kapiga hesabu kaona upinzani ndo panamfaa maana ni rahisi kutumiwa na kupata 10%
siasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?.Siasa!!!!!!!!!!!!??
Hata huko ni kujiajiriKweli nimeamini elimu ya nchi yetu ni janga, msomi wa kiwango cha professor anashindwa kujiajiri anakimbilia mahali atakapoajiriwa tu!!!
Cc: Pasco, Kitila Mkumbo
Molemo unapiga ramli sasa?WanaJF
Kuna tetesi zinasambaa kwa kasi kwamba aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha CUF Prof Ibrahim Lipumba anajiandaa wakati wowote kutoka sasa kutangaza kujiunga na ACT Wazalendo
Taarifa hizo zinazidi kubainisha kwamba mara atakapojiunga Mwenyekiti wa chama hicho Anna Mgwira atajiuzulu nafasi hiyo ili kumpisha Lipumba
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde
Lipumba si malaya wa kisiasa....Si jambo la ajabu sana kwenda huko maana wote kiitikadi (Zitto na Lipumba) ni sawa. Sale outs. Hakuna jipya. Kwa wasiolewa watashangalia lakini hii ni political strategy ya CCM kucheza na akili za watu. Ni dhahiri kuwa ACT ni CCM B na kipindi cha uchaguzi kina Slaa walipokuwa wanakaa Serena kwa siri akikutana na Mwakyembe na Lipumba kwenda vacation Rwanda halafu States sasa ni wakati wa kutumikia ruzuku waliozokula. Hamjiulizi Lipumba alikuwa wapi siku zote toka alipojiuzulu asidai ueneyekiti wake tena mpaka juzi na baada ya kuja tu CUF imesambaratika. Alikuwa kwenye mission kaitimiza.
Dhamira hapa ni kudhoofisha upinzani. Kitakochofuata Slaa nae atajiunga ACT na wale wachumia tumbo wa upinzani wote watakwenda huko pia kujifanya wanapigania nchi.
CUF tayari kuna mtafuruku ambao Lipumba ana mkono wake, CHADEMA napo hakukaliki kina Lema na Lissu kutwa wapo lupango, mwenyekiti anadhoofishwa kiuchumi, muda si mrefu watakuwa chali. Hapo sasa ACT wataonekana ndio tegemezi la wanyonge while in reality ni decoy tu.
Come 2020 aidha Lipumba ama Slaa atasimama kugombea urais ambapo in reality itakuwa ni CCM A versus CCM B na mshindi mnajua atakuwa nani. Na hii ndio Tanzania yetu ya kidemokrasia na amani tele............................
Cc:mcubic_safari njema kajaribu kukiua hicho pia_
Cdm naona inazidi kuwashikisha adabu chini ya mwenyekiti MboweKama sultani mbowe mwenyekiti wa maisha wa cdm anavyoendana na sultan Seif katibu mkuu wa maisha wa cuf
Ujio wake act utaondoa hata mbunge wao waliyo mpata kwa juhudi na kukubalika kwa mgwiraAtasaidia kwa hilo labda.. ila mbona akiwa CUF miaka yote hiyo sikuona vurugu zozote za uchumi?
YupoNaona mtu kama John Cheyo hapo.
Kweli kabisa mkuu tunazidi kuongeza wapinzani wa upinzani nchini tanzaniaSina hakika kama zzk ana ukwasi wa kuhimili mikikimikiki ya siasa na huyo prof. Kinyume chake watakuwa kama NCCR, TLP, Ashim Rungwe, ADC nk
Baada ya kuwachwa kwenye teuzi zoote sasa kadataUmeanza kurudi kwenye mstari sasa hongera sana
Mkuu hapo mcubic hana maisha mema tena ndani ya act
Mkuu hivi mwigamba aliishia wapi?Mkuu mpeni hata kile cheo cha mwigamba
Upinzani wa upinzani nchini tanzaniaYaelekea lao moja,ACT ni chama gani kinasimama kwenye majukwaa kinapinga wenzake.
Dr mihogo!Lipumba Ni msaliti lazima aungane na wenzake bado dr wps.