MAKWILO ALLY MAKWILO
Member
- Jun 12, 2013
- 32
- 13
Taarifa hii ikiwa ni kweli basi tanzania tutakuwa na ombwe la wasomi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vikao vya Ndani vimezuiwa nawaza vitakuwa ni vya Chadema tuu.Vikao vya ndani si vimekatazwa au?
Ndege wafananao huruka pamoja.
2010??Atagombea ubunge 2010 ili ACT kiongeze wabunge, wawe wawili.
Sorry, It was meant to be 20202010??
Sio bure,kuna jambo,naona mwenyekiti ataondolewa wadhifa.Unakaribisha mtu baada ya muda anakufukuza wewe.Natabiri ACT kuwa na mgogoro wa kugombea uenyekiti.
Acheni unafiki nyinyi mnatofauti gani na hao?Naona wasaka tonge wamekusanyana yetu macho
Mbona hivyo vitabu vyao kama wanasoma biblia au macho yangu mkuu[emoji134] [emoji134]Hahahahaha mkuu ulipigaje hiyo picha bila kuonekana hahahaha
Hawa hawana marufuku ya mkutano.