Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
WanaJF
Kuna tetesi zinasambaa kwa kasi kwamba aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha CUF Prof Ibrahim Lipumba anajiandaa wakati wowote kutoka sasa kutangaza kujiunga na ACT Wazalendo
Taarifa hizo zinazidi kubainisha kwamba mara atakapojiunga Mwenyekiti wa chama hicho Anna Mgwira atajiuzulu nafasi hiyo ili kumpisha Lipumba
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde
Ha ha ha! Siasa noma sana,
Nikiangalia hizi mambo za Dr Slaa Msaliti, Lipumba Msaliti, Zitto Msaliti; Lowassa fisadi then, Lowassa siyo fisadi ni mfumo!
Lipumba anaondoka CUF kwamba nafsi imemsuta, kesho anataka kurudi, imeshindikana, anatafuta chaka lingine.
Namwomba Rais wangu Dr Slaa apumzike zake, aachane na ulaghai na unafiki huu wa ACT, CDM, CCM, NCCR nk!