Prof. Lipumba: Kupigwa risasi haikuongezei sifa ya kuwa Rais wa Tanzania

Huu ni uchakubimbi,ni tabia za wanawake wasio na kazi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Hakuna spana hapo mjomba labda kwa machawa tu. Hata wewe ukitaka viewers andika kuhusu Lissu.

Ukipenda kujaribu andika kuhusu Lipumba uone. 🤣🤣

Ukweli mchungu wengi mnajipatia relevance kwa kulitumia jina la huyu mwamba. Kwenye hilo Lipumba ni mmoja wenu.
 
mkuu! silaha ulizotumia ni nyuklia
 
mpuuzi wewe dereva wa lisu amuue lisu ili apate nn? mtu unakula nae chakula umpige risasi? si angemuwekea sumu tu yakaisha? mjinga sana wewe jamaa
na ben sanane, anzory gwanda nao waliuwa na dereva wa lisu?
Mwambie ukweli huyu mwehu!
 
Badala ya kuzungumzia Inflation yeye anazungumzia risasi

Huyu mzee kwishney sema tu yule mkewe mchagga anamlisha!
Inategemea na kiungo unachotumia kufikiria, matatizo yanayoikabili Tanzania ni inflation Tu? Ukiukwaji wa wa haki za binadamu siyo tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…