kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Jibu hoja yake .Je kupigwa risasi ni sifa?Propesa pumba ktk ubora wake, akili ilishagandamana na tope kabisa maskini!
Uliwahi kuona wapi propesa anakaa buguruni malapa😛
Jibu hoja yake .Je kupigwa risasi ni sifa?
Lipumba sema chochote kuhusu Lissu lakini yeye ni shujaa kuliko wewe maana aliumizwa kwa kusimamia aliyoyaamini na si wewe uliyetumiwa kuwasaliti wana mageuzi wenzako hadi chama kinakufia mkononi.Prof. Lipumba wakati anajibu maswali mbalimbali ya Waandishi wa Habari amemlipua Tundu Lissu kuwa ajue kupigwa risasi siyo sifa ya kukufanya uchaguliwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Prof. Lipumba amesema kwenye sifa za mtu kuwa Rais wa Tanzania kupigwa risasi haipo, hivyo Lissu angeendeleza sera za kuwaunganisha Watanzania na kuwaletea maendeleo na siyo kuimba kupigwa risasi kila siku.
Lipumba anajua sana, hii hoja Tundu Lissu itamfikirisha sana mara mbili mbili kugomea urais maana mara ile alipomaliza kampeni na uchaguzi kuisha ata hakupita kwa wananchi kusema chochote alitimkia zale belgium hakuwapa wananchi breafing yoyote wala shukuran zozote wala chochote ni kama vile alirudi kusaka urais tu akikosa arudi uhamishoni.Prof. Lipumba wakati anajibu maswali mbalimbali ya Waandishi wa Habari amemlipua Tundu Lissu kuwa ajue kupigwa risasi siyo sifa ya kukufanya uchaguliwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Prof. Lipumba amesema kwenye sifa za mtu kuwa Rais wa Tanzania kupigwa risasi haipo, hivyo Lissu angeendeleza sera za kuwaunganisha Watanzania na kuwaletea maendeleo na siyo kuimba kupigwa risasi kila siku.
Hiyo sifa haipo kwenye katiba ya muungano wa Tanzania..Kupigwa risasi ni sifa kama unataka kuwa Amiri Jeshi Mkuu.
..Askari na watu wa Usalama wanaheshimu zaidi kiongozi aliyepitia BATTLE EXPERIENCE kuliko ambaye hajapitia.
Malinda yaliwasha akatimuka, madaktari ni kisingizio tuLipumba anajua sana, hii hoja Tundu Lissu itamfikirisha sana mara mbili mbili kugomea urais maana mara ile alipomaliza kampeni na uchaguzi kuisha ata hakupita kwa wananchi kusema chochote alitimkia zale belgium hakuwapa wananchi breafing yoyote wala shukuran zozote wala chochote ni kama vile alirudi kusaka urais tu akikosa arudi uhamishoni.
Na hata sasa ametakiwa kurudi kwa taabu amekaa wiki 1 tu, kadai madaktari wanamuita amerudi zake huko huko
Hiyo sifa haipo kwenye katiba ya muungano wa Tanzania
Onyesha hicho kipengele kwenye katiba yetu..Ni sifa ya ziada.
..askari anayetumwa vitani ataheshimu maagizo ya amiri jeshi aliyeumia kwa kupigwa risasi, kuliko amiri jeshi aliyeumia wakati akikata vitunguu jikoni.
..Ni sifa ya ziada.
..askari anayetumwa vitani ataheshimu maagizo ya amiri jeshi aliyeumia kwa kupigwa risasi, kuliko amiri jeshi aliyeumia wakati akikata vitunguu jikoni.