kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Anatafuta umaarufu kupitia Tundu!!... atafute mke kwanza awe na familia akili imtulie. Kiongoz unagombana hovyo mambo binafsi na viongozi wenzio lichama halitulii linajifia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hoja yake .Je kupigwa risasi ni sifa?Propesa pumba ktk ubora wake, akili ilishagandamana na tope kabisa maskini!
Uliwahi kuona wapi propesa anakaa buguruni malapa😛
Jibu hoja yake .Je kupigwa risasi ni sifa?
Prof. Lipumba wakati anajibu maswali mbalimbali ya Waandishi wa Habari amemlipua Tundu Lissu kuwa ajue kupigwa risasi siyo sifa ya kukufanya uchaguliwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Prof. Lipumba amesema kwenye sifa za mtu kuwa Rais wa Tanzania kupigwa risasi haipo, hivyo Lissu angeendeleza sera za kuwaunganisha Watanzania na kuwaletea maendeleo na siyo kuimba kupigwa risasi kila siku.

Hiyo sifa haipo kwenye katiba ya muungano wa Tanzania..Kupigwa risasi ni sifa kama unataka kuwa Amiri Jeshi Mkuu.
..Askari na watu wa Usalama wanaheshimu zaidi kiongozi aliyepitia BATTLE EXPERIENCE kuliko ambaye hajapitia.
Malinda yaliwasha akatimuka, madaktari ni kisingizio tuLipumba anajua sana, hii hoja Tundu Lissu itamfikirisha sana mara mbili mbili kugomea urais maana mara ile alipomaliza kampeni na uchaguzi kuisha ata hakupita kwa wananchi kusema chochote alitimkia zale belgium hakuwapa wananchi breafing yoyote wala shukuran zozote wala chochote ni kama vile alirudi kusaka urais tu akikosa arudi uhamishoni.
Na hata sasa ametakiwa kurudi kwa taabu amekaa wiki 1 tu, kadai madaktari wanamuita amerudi zake huko huko
Hiyo sifa haipo kwenye katiba ya muungano wa Tanzania
Onyesha hicho kipengele kwenye katiba yetu..Ni sifa ya ziada.
..askari anayetumwa vitani ataheshimu maagizo ya amiri jeshi aliyeumia kwa kupigwa risasi, kuliko amiri jeshi aliyeumia wakati akikata vitunguu jikoni.
..Ni sifa ya ziada.
..askari anayetumwa vitani ataheshimu maagizo ya amiri jeshi aliyeumia kwa kupigwa risasi, kuliko amiri jeshi aliyeumia wakati akikata vitunguu jikoni.