Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Sawa bossHata kesho njoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa bossHata kesho njoo
OkayLissu
Watanzania wanataka uhuru na haki ndani ya nchi yao. Watanzania hawataki kuonewa na kunyanyaswa na kutukanwa ndani ya nchi yao. Ndiyo maana kipindi cha miaka 5 ya Meko amejisifu kuwa kafanya maendeleo sana, lakini why this REJECTION ? Sasa hivi haongelei tena madaraja na madege
aaaah wapi najua unaongea tu, posho hio ya elfu saba ndio inakupa mawazo najua ..kura utampa Lissu, najua na nakupongeza kwa hilo.Ni bora nizikwe hai kuliko kumpigia kura msaliti wa Nchi lissu
Ni bora nikae nyumbani nisipige kura kuliko kufanya dhambi ya kumpigia kura lissu
Ee Mungu niondolee hii nuksi