Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Nichagueni Oktoba 28 niwe Rais nisimamie elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Nichagueni Oktoba 28 niwe Rais nisimamie elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

Tanzania tupo huru kwa kila kitu, isipokuwa hakuna uhuru wa ushoga

Kwa anayetaka uhuru wa ushoga aende ubeligiji
Watanzania wanataka uhuru na haki ndani ya nchi yao. Watanzania hawataki kuonewa na kunyanyaswa na kutukanwa ndani ya nchi yao. Ndiyo maana kipindi cha miaka 5 ya Meko amejisifu kuwa kafanya maendeleo sana, lakini why this REJECTION ? Sasa hivi haongelei tena madaraja na madege
 
Utajiri wa nchi, fedha za nchi ni mali ya wananchi. Chama kilichopo madarakani kinatakiwa kusimamia utajiri, kuuendeleza na kusimamia matumizi ya fedha za wananchi na sio kuzifuja au kujinadi kama za kwao.
 
Ni bora nizikwe hai kuliko kumpigia kura msaliti wa Nchi lissu

Ni bora nikae nyumbani nisipige kura kuliko kufanya dhambi ya kumpigia kura lissu

Ee Mungu niondolee hii nuksi
aaaah wapi najua unaongea tu, posho hio ya elfu saba ndio inakupa mawazo najua ..kura utampa Lissu, najua na nakupongeza kwa hilo.
 
Back
Top Bottom