Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Ana HAKI ya kusema ukizingatia yeye ni MJUMBE ukweli Prof Mukandala kajipotezea HESHIMA kwa Kumdanganya Rais na WatanzaniaHuyu nae si akae kimya tu maana unafiki wake tumeshauchoka mda mrefu sana
Mimi nitakupeleka mbele zaidi.Amesikika Profesa Lipumba mjumbe aliyehudhuria mkutano wa TCD Dodoma kikamilifu.
View attachment 2167212
Hajui kabisa wazo hili la katiba mpya baada ya 2025 liliasisiwa wapi.
Ni wazi kuwa Profesa Mukandala, Zitto na wenzake wameamua kutucheza shere.
Watu hawa hawapaswi kuendekezwa kwani nchi hii si yao peke yao.
Kwanini isiwe kuwa wamedhamiria kupenyeza maslahi yao binafsi kwenye suala hili?
Watu hawa wanaaminika vipi tena kutokea hapa?
Duh, kumbe ndiyo maana wanajitoa akili kabisa kichwani!Nakupa kwanz faida zake
1) posho hadi 2030
2) Safari nje ya nchi kujifunza wenzetu wanatekelezaje Demokrasia …safari za nje unajua posho zake? Semina y wiki 3 kenya tu unanunua Harrier 'tako la nyani' toleo la 2011
Kikos kazi cha Mkandala🤣🤣🤣🤣Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ameoneshwa kusikitishwa na baadhi ya masuala yaliyowasilishwa na Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Nchini kinachoongozwa na Mwenyekiti Prof. Rwekaza Mukandala kwa kueleza kuwa baadhi ya masuala hayo yaliyowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan na kupitia kwake kwa Umma si miongoni mwa yale waliyokubaliana kwenye mkutano wa Baraza la vyama vya siasa uliofanyika Jijini Dodoma
Akizungumza na Wanahabari kwenye makao makuu ya Ofisi za Chama hicho Jijini Dar Es Salaam Prof.Lipumba amefafanua kuwa kwenye Mkutano huo ambao ndio uliopelekea kuundwa kwa Kikosi Kazi hicho hakutokea Mjumbe yeyote aliyependekeza kuwa mchakato wa Katiba mpya ufanyike baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, hivyo ameeleza kuwa ameshangazwa kusikia Prof.Mukandala na Kikosi cahe wanawasilisha jambo ambalo ni kinyume na makubaliano ya Wajumbe wa Mkutano huo
Mwenyekiti huyo wa CUF amewataka Wajumbe wa Kikosi Kazi hicho kufanya kazi wanayopaswa kufanywa badala ya kuanza kugeuka na kufikiri wanamtumikia Rais au Serikali
View attachment 2167160View attachment 2167161View attachment 2167162View attachment 2167163View attachment 2167164View attachment 2167165
🤣🤣🤣Baraza la Siasa liliongea mengine Mkandala na wenzake wamekuja na yaoMimi nitakupeleka mbele zaidi.
Utaamini vipi kiongozi mkuu wa nchi kuamua jambo ambalo sio la manufaa kwa nchi yake, bali kwake yeye mwenyewe na chama chake.
Bado siondoi lawama kwa hao uliowataja, na hata hawa maprofesa njaa kabisa, wanaotia aibu kubwa kwa usomi wao, lakini lawama kuu ni kwa huyo anayetoa amri yafanyike anayotaka kupitia mgongoni kwa hawa washenzi kabisa wanaopoteza heshima zao kwa wananchi.
Haya yaliyotangazwa na hicho kikosi kazi ni matakwa ya Maza Mzinguo, halafu yeye anajifanya ni mapendekezo ya hicho kikundi alichokiteuwa yeye.
Halafu angalia ujuha mwingine: Mada inaletwa hapa JF na kichwa cha habari "Rais Samia Kadanganywa..,." ; kama siyo yeye ndiye anaye wadanganya waTanzania?
Sasa kama hawakukubaliana asiseme ukweli?Huyu nae si akae kimya tu maana unafiki wake tumeshauchoka mda mrefu sana
Dar es Salaam. Chama cha Wananchi (CUF) kimemteua Hamad Masoud Hamad kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, akichukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Haroub Mohamed Shamis.Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ameoneshwa kusikitishwa na baadhi ya masuala yaliyowasilishwa na Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Nchini kinachoongozwa na Mwenyekiti Prof. Rwekaza Mukandala kwa kueleza kuwa baadhi ya masuala hayo yaliyowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan na kupitia kwake kwa Umma si miongoni mwa yale waliyokubaliana kwenye mkutano wa Baraza la vyama vya siasa uliofanyika Jijini Dodoma
Akizungumza na Wanahabari kwenye makao makuu ya Ofisi za Chama hicho Jijini Dar Es Salaam Prof.Lipumba amefafanua kuwa kwenye Mkutano huo ambao ndio uliopelekea kuundwa kwa Kikosi Kazi hicho hakutokea Mjumbe yeyote aliyependekeza kuwa mchakato wa Katiba mpya ufanyike baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, hivyo ameeleza kuwa ameshangazwa kusikia Prof.Mukandala na Kikosi cahe wanawasilisha jambo ambalo ni kinyume na makubaliano ya Wajumbe wa Mkutano huo
Mwenyekiti huyo wa CUF amewataka Wajumbe wa Kikosi Kazi hicho kufanya kazi wanayopaswa kufanywa badala ya kuanza kugeuka na kufikiri wanamtumikia Rais au Serikali
View attachment 2167160View attachment 2167161View attachment 2167162View attachment 2167163View attachment 2167164View attachment 2167165
Atakaa kimya.Nadhani Zitto aje akanushe ya Prof au akubaliane naye. Kukaa kimya haitasaidia
JokaKuu Fundi Mchundo