Prof Lipumba: Taswira ya Tanzania kimataifa iliyoachwa na Mwalimu Nyerere, Rais Magufuli ameiharibu. Ni aibu kubwa kutoshirikiana na WHO

We Mzee na wewe leo umemgeuka mshikaji wako?
 
Hiyo Marekani yenyewe imeikataa hiyo who Sisi ni akina Nani tuipende?? Think loud
 
Lipumba aache unafiki wake. Kwani yeye tangu lini ameanza kuwakosoa ccm
 
Propesa anataka bil 3 nyingine nini? Mbona anampiga spana jiwe.
 
Hata saa iliyoharibika kuna wakati inasema ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…