jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Hakuna aloyegoma bila sababu...wewe ndio usiyejua sababuKugoma tu bila sababu? Kwani wanasayansi wapo wapi? WHO ndio hawafai? China mbona wanatafiti Chanjo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna aloyegoma bila sababu...wewe ndio usiyejua sababuKugoma tu bila sababu? Kwani wanasayansi wapo wapi? WHO ndio hawafai? China mbona wanatafiti Chanjo?
Sababu gani kuhofia chanjo?Hakuna aloyegoma bila sababu...wewe ndio usiyejua sababu
Ulishawahi kumbuka condom uliyotumia? Labda ikipasuka kabla ya kumaliza. Ukishamaliza kuitumia hata kuishika kimyaa!Lipumba anajaribu kufurukuta ili akumbukwe
Kama kuna sababu zitumike kugomea na ARV na chanjo za RCHs pote nchiniHakuna aloyegoma bila sababu...wewe ndio usiyejua sababu
Sababu ya kugoma ni nini mkuu?Hakuna aloyegoma bila sababu...wewe ndio usiyejua sababu
Hiyo Marekani yenyewe imeikataa hiyo who Sisi ni akina Nani tuipende?? Think loudKwa malezo aliyotoa Prof Lipumba alipokuwa anaongea na waandishi wa habari huku akiongea kwa uchungu, amesema kuwa rais Magufuli ameharibu taswira ya Tanzania kwenye jumuia ya kimataifa.
Nchi zingine zote zinashirikiana na WHO kwa kupima na kutoa taarifa. Pia zipo kwenye mgao wa WHO wa kupata chanjo ya Covax.
Leo hii mataifa ya nje yanaisema vibaya Tanzania juu mapambano ya Covid 19. Haijabadili takwimu tangu March 2020.
Prof Lipumba amedai kuwa Mwl Nyerere aliunda taifa lenye ushirikiano na jumuia za kimataifa na hata marais waliopita waliundeleza. Leo hii ni rais Magufuli ameuharibu.
View attachment 1719493
Propesa anataka bil 3 nyingine nini? Mbona anampiga spana jiwe.Kwa malezo aliyotoa Prof Lipumba alipokuwa anaongea na waandishi wa habari huku akiongea kwa uchungu, amesema kuwa rais Magufuli ameharibu taswira ya Tanzania kwenye jumuia ya kimataifa.
Nchi zingine zote zinashirikiana na WHO kwa kupima na kutoa taarifa. Pia zipo kwenye mgao wa WHO wa kupata chanjo ya Covax.
Leo hii mataifa ya nje yanaisema vibaya Tanzania juu mapambano ya Covid 19. Haijabadili takwimu tangu March 2020.
Prof Lipumba amedai kuwa Mwl Nyerere aliunda taifa lenye ushirikiano na jumuia za kimataifa na hata marais waliopita waliundeleza. Leo hii ni rais Magufuli ameuharibu.
View attachment 1719493
Hata saa iliyoharibika kuna wakati inasema ukweli.Kwa malezo aliyotoa Prof Lipumba alipokuwa anaongea na waandishi wa habari huku akiongea kwa uchungu, amesema kuwa rais Magufuli ameharibu taswira ya Tanzania kwenye jumuia ya kimataifa.
Nchi zingine zote zinashirikiana na WHO kwa kupima na kutoa taarifa. Pia zipo kwenye mgao wa WHO wa kupata chanjo ya Covax.
Leo hii mataifa ya nje yanaisema vibaya Tanzania juu mapambano ya Covid 19. Haijabadili takwimu tangu March 2020.
Prof Lipumba amedai kuwa Mwl Nyerere aliunda taifa lenye ushirikiano na jumuia za kimataifa na hata marais waliopita waliundeleza. Leo hii ni rais Magufuli ameuharibu.
View attachment 1719493
Safari hii amecheleweshewa kuwekewa mzigo, soon atatuliaPropesa anataka bil 3 nyingine nini? Mbona anampiga spana jiwe.
marekebisho kdg, sio ukiwa Rais makini...sema ukiwa Rais mpumbavu!.Ukiwa Rais makini Wakenya lazima utofautiane nao