Prof. Lipumba: Tundu Lissu aliniwekea pingamizi nisigombee urais 2020 kwa sababu za hovyo kabisa

Naona kamkomalia jamaa!
Hio ni baada ya Lissu kusema haungani na vyama vingine vya siasa kwenye kipindi cha Dakika 45 ITV, maana vyama vingine vinaungana na Chama Tawala na kukubari kila hoja ya Chama Tawala kwa hio hivyo vyama sio vyama vya upinzani, chama pekee cha upinzani kwa mujibu wa Lissu ni CHADEMA, sasa Prof naona kihoro kimemwingia
 
Kwenye maridhiano na CCM chadema haimo!?
 
Mimi sijui, nilichosema kilichomuuma Prof kuanza kumsema Lissu negatively ni hicho tu sio kingine, asingesema hivyo Prof asingeanza kumuongelea Lissu negatively
 
So una uwezo wa kuingia kwenye nafsi ya mtu na kujua nini kimemuumiza!?...aliposema Kuna vyama vina sera za kutongoza madem juzi alikua kaumizwa na kauli ya Leo ya lissu!?
 
Mkuu huko Mimi sipo, sera za kutongoza mademu chama kipi?
 
Back
Top Bottom